Kwahiyo "mbowe" wameachana na huyo demu wake ama bado wakp naye?
Mbowe ndio alimtoa gerezani Nusrat usiku saa saba akamuogesha na saa mbili akamuapisha kuwa mbunge?
Walikuwa mahakamani, sasa limerudishwa kwenye chama, chama hakiwezi kukaa na watu a,mnbao si wanachama wake.
Hivyo msimamo wao ni wabunge wa mwendazake!
WAnanchi ndio sasa mmeulizwa mnawasamehe waendelee kutafuna hela yenu ya kodi?
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
Lipumba, Zitto na Covid-19 wote wanatumika kama zile karatasi nyeupe zinazowekwa kule kwenye kile chumba kidogo watu wote lazma waende na kutoka haraka haraka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.