Search results

  1. Jaji Mfawidhi

    Wapalestina 300,000 wameondoka Rafah, pameanza kupigwa

    Wanajutia walivyoshangilia 7-10.
  2. Jaji Mfawidhi

    Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Jambo dogo lakini tension kubwa, ukiona hivyo watu wana yao ya moyoni na hawanana nafasi ya kuyasemea.
  3. Jaji Mfawidhi

    Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Tumbo la uzazi. Wewe najua unaumia pale kwenye kidonda cha gono sugu unalotibiwa Amana Hospital.
  4. Jaji Mfawidhi

    Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Cheers! Kama hao watatu wamegoma sasa CHADEMA warudishe kesi kwa wananchi. Lissu atoe tamko!
  5. Jaji Mfawidhi

    Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Kwahiyo "mbowe" wameachana na huyo demu wake ama bado wakp naye? Mbowe ndio alimtoa gerezani Nusrat usiku saa saba akamuogesha na saa mbili akamuapisha kuwa mbunge?
  6. Jaji Mfawidhi

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwenye ofisi za Makao Makuu Mikocheni, Dar es Salaam

    COVID -19 wanaomba kurudi, wapeni masharti watapike fedha walizununuliwa na pia warudishe mishahara yote waliyopokea maana si halali.
  7. Jaji Mfawidhi

    Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Walikuwa mahakamani, sasa limerudishwa kwenye chama, chama hakiwezi kukaa na watu a,mnbao si wanachama wake. Hivyo msimamo wao ni wabunge wa mwendazake! WAnanchi ndio sasa mmeulizwa mnawasamehe waendelee kutafuna hela yenu ya kodi?
  8. Jaji Mfawidhi

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Sijakutukana, sijataja chama chochote kwa jina , ila kama idara ya vijana ya chama chako ulipo umelelewa hivyo sawa.
  9. Jaji Mfawidhi

    Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
  10. Jaji Mfawidhi

    Maalim Seif: Lipumba anatumika na Chama Tawala(CCM) kudhoofisha Upinzani

    Lipumba, Zitto na Covid-19 wote wanatumika kama zile karatasi nyeupe zinazowekwa kule kwenye kile chumba kidogo watu wote lazma waende na kutoka haraka haraka.
  11. Jaji Mfawidhi

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Wanapatikana wapi? MWIJAKU ni graduate na huwa anasema haipi, hajawahi kulipa na hataki kulipa, mtatmtumia polisi akalipe?
  12. Jaji Mfawidhi

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Wanalipwa na hawarejeshi isipokuwa wale wanaopata ajira za serikali.
  13. Jaji Mfawidhi

    Hotuba ya Kambi ya Upinzani; Bajeti Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto

    Ndio wale waliokuwa wananunuliwa kwa fedha za walipa kodi na biashra ikapewa jina zuri la KUUNGA MKONO JUHUDI.
  14. Jaji Mfawidhi

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Sawa, kumbe ndio mnavyoiibia serikali huwa mnafarijiana kuwa nyie siyo wakamilifu kwahiyo mnaiba tu.
  15. Jaji Mfawidhi

    Hotuba ya Kambi ya Upinzani; Bajeti Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto

    Kipindi hicho kabla ya wasaliti 19 al maarufu kama Uviko-19.
  16. Jaji Mfawidhi

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    IVFKupandikiza mimba, ama kwa kimombo In Vitro Fertilization (IVF) ni mchakato wa kuunganisha yai la mwanamke na mbegu za mwanaume nje ya mwili wa binadamu katika maabara na kisha kurudishwa kwenye mwili wa mwanamke ili mimba ikue.
  17. Jaji Mfawidhi

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Kennedy Kupandikiza mimba, ama kwa kimombo In Vitro Fertilization (IVF) ni mchakato wa kuunganisha yai la mwanamke na mbegu za mwanaume nje ya mwili wa binadamu katika maabara na kisha kurudishwa kwenye mwili wa mwanamke ili mimba ikue.
  18. Jaji Mfawidhi

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Unatmia herufi kubwa zote kwenye kuandika, huna tofauti na wanaoweka vibendera kwenye dp zao, ni MACHAWA wanao uza utu na nchi yao.
Back
Top Bottom