Recent content by brownboy

  1. B

    Niliyoyaona leo nilipokwenda kusambaza barua za internship

    Naweza kukupatia kazi ila sharti langu ni moja tu mshahara wako wa kwanza utanipa wote.je upo tayari? Kazi unapata ndani ya siku 7 tu.
  2. B

    No rasmi sasa Lavalava ndio king wa Piano bongo hii

    Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia Tajiri,Tunakikao,beer nyama, Sawa na sasa Kibango inayosumbua mtaani. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni.
  3. B

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Wavaa kobazi wanasimama na Irani japo wote tunajua kuwa zilirushwa drone 300+ na hakuna hata moja Imehit jengo
  4. B

    Kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee

    Hakuna wa kumreplace kanumba RIP
  5. B

    Gharama ya kubadili simu (top up) kulingana na pesa ya kununua simu mpya kwa watumiaji wa iPhone ni utapeli

    Kuna hii system ya kuexchange iPhone ama kutop up. Hii watu wanapigwa sana kwani gharama zinakuwa juu mno kuliko inavyotakiwa. Mfano 14 plain kwenda 15 plain ni tzs 1m hii ni bei ya simu mpya kabisa dukani. Huu ni utapeli wa kiwango cha juu mno.
  6. B

    Safari hii naona Lavalava (lovebite) kazingua

    Kwa speed aliyokuja nayo mwaka uliopita basi nilitegemea atoe hit song nyingine kali kuizid beer nyama lakini wapi! Hizi nyimbo zake mbili ni mbovu na hata mixing haikufanyika kwa usahihi. Arudi Tena studio.
  7. B

    Hassan Mwakinyo ashinda kwa KO round ya 7

    Bondia hassan mwakinyo ashinda kwa KO katika round ya 7 baada ya kumbwaga bondia was Ghana Elvis..... duh kwa Hali hii twaha kiduku atachapika vibaya...
  8. B

    Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

    Update. Label Ina jaribu kmbembeleza msanii abaki kwa sababu amefanya vizuri huu mwaka hivyo amewaingizia faida, ila msanii na upande wake wanasisitiza anataka aondoke kwani kwa mda aliokaa hapo basi ulitosha sana kumfanya awe star.
  9. B

    Ngoma gani inasumbua Sana mitaa yako kwa sasa?

    Yaani inahit Sana ?
  10. B

    Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

    Learn to be wise nimewapa tu Code hayo mambo ya ushoga usinizoee kabisaa.
  11. B

    Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

    UPDATE:Ni kwamba huyo msanii now yupo njiani kuelekea kwenye show yake Moja huko mkoani lakini watu wake bado wanadiscuss na management kuhusu hili swala Inasemekana ni kwamba label hiyo haikutekeleza kilichokubaliwa katika mkataba wake. Mfano ni idadi ya nyimbo anazoruhusiwa kutoa kwa...
  12. B

    Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

    Hapana siwezi kumdisclose coz ishu bado inaendelea mezani ila soon mtasikia amesepa.
Back
Top Bottom