WATU, SIASA NA MAENDELEO
Watu ni Wananchi, Wananchi ni watu wanaotambulika kisheria kitaifa katika serikali au jimbo la kawaida iwe kuomba au kuzaliwa. Kwa uelewa Wangu mdogo najua kuwa Raia na...
LUCK and CHOICES
Hakuna mtu ambaye hajawahi kusikia neno BAHATI(LUCK) ,.Ila Hakuna kitu Bahati Lakini Kila kitu ni Bahati. Wazungu wanasema Bahati ni Sawa na Fursa ukaongeza na maandalizi ya hiyoo...
WATU NI MTAJI
Mtaji ni Fedha ambayo ni lazima uwe nayo katika mwanzo wa biashara yoyote ile. Mtaji ndio msingi mkuu wa biashara yoyote ile ili iweze kukua na kufikia malengo na matamanio ya...
KIZUNGUMKUTI CHA MAADILI NCHINI TANZANIA.
Miaka ya hivi karibuni duniani kote na hata Tanzania, kumeshuhudiwa kuwapo Kwa suala la Kizungumkuti cha maadili na limeonekana kuwa suala mtambuka na...
Hii wala haihitaji aya nyingi ili ieleweke, ni maneno machache ya kutufanya tubadili mindset zetu kwenye kuweka akiba.
Unapata hela unataka uitumie umalize shida zako ikibaki elfu tano ndio...
KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA
UTANGULIZI
Dhana ya utawala bora na uwajibikaji ni kama pande mbili za sarafu moja, ili kuwepo na utawala bora uwajibikaji ni nguzo muhimu ambayo ni ya...
UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO
Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya...
Habari!
Itungwe sheria ya dharura itakayofanya kazi kwa kipindi kifupi (yaani sheria ya mpito).
Kila mtumishi wa umma mwenye umri wa miaka 50 na kuendelea astaafishwe kwa lazima na nafasi yake...
Mapungufu ya mtu, yanaonekana katika ubinadamu wake, kwa kile anacho kifanya, hata hivyo tuna uwezo wa kufanya yote, kuwa makamilifu bila ya kurudia makosa yoyote. Jifunze. Unapotaza mapungufu ya...
Ukikubali kuajiriwa lazima ukubali unafanya kazi ili ulipie gharama za uendeshaji ikiwa pamoja na mshahara wako pia umtengenezee faida muajiri wako.
Muajiriwa-: Jitahidi Sana kutambua kuwa...
Utangulizi: MADALALI WA nyumba ni watu maalumu wanaoingia makubaliano na mmiliki wa nyumba kwa ajili ya kutafuta wapangaji. Katika makubaliano hayo mpangaji atatakiwa amlipe dalali pesa ya kodi ya...
Kwa kuanza, swala la uzalendo ni swala pana hasa katika maslahi ya nchi au taifa kwa ujumla. Tukianza na viongozi waasisi Mfano
Nyerere wa Tanzania na Mandela wa Africa ya kusini walikuwa ni...
Utangulizi
Imani ya uwajibikaji ni hali ya kuamini katika ufanisi wako ili kuleta mafanikio. Kuwajibika kwa kiongozi sio hiari bali ni lazima kwa ajiri ya watu anaowatumikia. Kiongozi ni mtu...
Kwa kuanza, moja kati ya nchi zenye idadi kubwa kabisa ya vijana barani Africa ni Tanzania. Ila chakusikitisha ni kwamba idadi ya vijana wengi wakitanzania hawazitambui nafasi zao katika jamii...
nchi yetu, itakuwa na vijana wenye kujikimu kimaisha iwapo tu tutajitambua kwamba sisi ndiyo wajenzi wa nchi. tukijua kwamba sisi ndiyo wategemewa wa kesho, fursa zilizopo katika jamii yetu ni...
RISASI MBILI
Kuna kisa kimoja kuhusu โrisasi mbiliโ CHEUSI, muuaji, mpiga risasi ambaye havuti wala halewi, alikuwa ameenda Masaki kutembelea nyumba ya mpenzi wake karibu na barabara ya Chole...
Mimi ni Mariamu, mwanamke mwenye umri wa miaka 40, mke na mama wa watoto wawili. Kama mtoto, nilitamani siku moja kuwa mjasiriamali, lakini haikuwa rahisi sana kwangu. Nilipata elimu ya chuo kikuu...
Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo.
Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa...
(MFUMO WA KIDOLE GUMBA)
Kidole gumba ni wazo la kuanzisha mfumo wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa njia ya kidigitali na kupiga kura kielektroniki kwa kutumia alama ya kidole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.