SoC03 Uwajibikaji wa viongozi kuzitambua nafasi zao katika jamii

Stories of Change - 2023 Competition

Eng CA Christopher

New Member
May 8, 2023
4
2
Kwa kuanza, swala la uzalendo ni swala pana hasa katika maslahi ya nchi au taifa kwa ujumla. Tukianza na viongozi waasisi Mfano
Nyerere wa Tanzania na Mandela wa Africa ya kusini walikuwa ni viongozi wa mfano katika swala la uzalendo. Kinachosikitisha ni kwamba kwa viongozi tulio nao kwa sasa katika mataifa mengi ya Africa sio wazalendo na wengi wamesahau nafasi zao katika taifa.

Kifanyike nini?
Uimarishwaji wa Demokrasia katika nchi husika

Kutungwa kwa sharia kali zitakazo waadabisha viongozi wenye kukiuka Demokrasia na kutokufwata haki katika nchi husika.
 
Back
Top Bottom