Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

Utaratibu wa uteuzi kwa jinsi mamlaka husika itakavyoona inafaa huenda ulifaa sana miaka ya zamani kutokana na uhaba wa wasomi na sababu za kiusalama. Kwa miaka ya sasa ambapo mbinu za kiusalama...
4 Reactions
4 Replies
488 Views
Upvote 5
Uboreshaji wa Mfumo na Muongozo wa Utoaji wa Taarifa za Serikali nchini Tanzania. Utangulizi. Habari ndugu wana JamiiForums! Karibuni tujumuike katika chapisho hili lenye lengo la kuchunguza na...
3 Reactions
18 Replies
721 Views
Upvote 16
Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili vijana nchini Tanzania. Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Ajira (NEMA) zinaonyesha kuwa asilimia 16.1 ya vijana nchini Tanzania...
4 Reactions
3 Replies
451 Views
Upvote 5
A: UTANGULIZI. Usafiri ni hali ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa madhumuni mbalimbali. Maendeleo ni hali ya kukua kifikra, kiuchumi, siasa, kijamii au kiutamaduni kutoka...
1 Reactions
3 Replies
477 Views
Upvote 2
UTANGULIZI. Maafa ni madhara yanayotokana na janga ambayo yanajumuisha uharibifu wa mfumo wa kawaida katika jamii ambao husababisha vifo, majeraha, madhara ya kisaikolojia,, upotevu au uharibifu...
83 Reactions
11 Replies
872 Views
Upvote 92
1/2: ๐Œ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ณ๐จ ๐ฒ๐š ๐›๐ข๐๐ก๐š๐š ๐ง๐š/๐š๐ฎ ๐ก๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐š ๐‰๐ž, ๐”๐ฆ๐ž๐ฐ๐š๐ก๐ข ๐Š๐ฎ๐Ÿ๐ข๐ค๐ข๐ซ๐ข๐š ๐Œ๐š๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐๐ข๐ฅ๐š ๐Š๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐จ? ๐‡๐ž๐›๐ฎ ๐“๐ฎ๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐ž ๐ง๐š ๐’๐š๐Ÿ๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐š ๐Š๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ๐š;- Hivi karibuni, changamoto kubwa anayokabiliana nayo mkulima mdogo sio katika...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Upvote 11
Mapungufu na mapendekezo usafiri wa Mabasi yaendayo kasi(UDART) nchini Tanzania Heshima zenu wote Wakuu, UTANGULIZI Binafsi nikiwa mmoja kati ya wasafiri wanaotumia mabasi yaendayo kasi...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Upvote 14
Kijiji kidogo Magharibi mwa Tanzania kilikumbwa na changamoto ya ukame na upungufu wa mavuno. Kundi la vijana chini ya uongozi wa Juma liliongoza harakati za kuleta mabadiliko. Walianzisha kilimo...
3 Reactions
4 Replies
411 Views
Upvote 5
UTANGULIZI Imetokea mara nyingi tumesikia Rais akiteua au kuchangua watu mbalimbali kushika nyadhifa serikalini au pengine watu kuitwa kwenye usaili wa kazi ili kuchambua na kupata wafanyakazi...
5 Reactions
12 Replies
634 Views
Upvote 12
Picha; The chanzo. UTANGULIZI Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia...
4 Reactions
10 Replies
932 Views
Upvote 16
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote, na sekta ya kilimo haipo nyuma. Tanzania, kama nchi inayotegemea kilimo kwa kiasi kikubwa katika uchumi wake, inahitaji...
31 Reactions
21 Replies
843 Views
Upvote 31
Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu linalofanywa na serikali kwa lengo la kukusanya takwimu sahihi na za kina kuhusu idadi ya watu na makazi, na tabia zao. Sensa hutoa taarifa muhimu kwa...
29 Reactions
16 Replies
1K Views
Upvote 30
Mabadiliko yanayoweza kufanyika kwenye mazingira ili kuchochea utawala bora au uwajibikaji Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Katika...
30 Reactions
19 Replies
1K Views
Upvote 33
Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza...
30 Reactions
101 Replies
3K Views
Upvote 55
UHAMISHO WA KUBADILISHANA UNAWANYIMA HAKI WATUMISHI Nikiwa kama mkereketwa sipendezwi sana na mfumo wa watumishi kuhama (hasa walimu) wanapohitaji kuhama kwa lengo la kupata changamoto mpya na...
0 Reactions
3 Replies
564 Views
Upvote 1
Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Upvote 18
MAKOSA YETU NDIO MARADHI YETU UTANGULIZI Wasomaji Nawasalimu kwa jina la JMT,Kazi iendelee. Kwanini nasema makosa yetu ndio maradhi yetu?Kwasababu makosa mengi tuyafanyayo kwa kujua au...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Upvote 48
Utangulizi. Habari wanajamvi.Katika karne hii ya Teknolojia na Utandawazi,asilimia kubwa ya watu hutamani kujitupa kwenye Uandishi wa habari.Uwepo wa mitandao ya kijamii ndio umezidi kurahisisha...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Upvote 24
ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada...
6 Reactions
6 Replies
825 Views
Upvote 7
Utangulizi Elimu ni msingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Kupitia elimu watu hupata maarifa, ujuzi, na mafunzo yanayowawezesha kujenga uwezo wao wa...
3 Reactions
10 Replies
635 Views
Upvote 8
Back
Top Bottom