Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

CAG, hufanya ukaguzi wa thamani ya fedha kwa mujibu wa kifungu cha 28 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma ya mwaka 2008 (na marekebisho ). CAG hana mamlaka ya kutoa Hati ya Ukaguzi, bali hutoa...
1 Reactions
2 Replies
378 Views
Upvote 2
KATIBA Ni sheria kuu au sheria mama ya nchi, kutokea humo zinazaliwa kanuni zote sheria zote na taratibu zote. kwa msingi huo katiba ni msingi mkuu na muongozo wa nchi unaotoa muongozo wa namna...
2 Reactions
4 Replies
758 Views
Upvote 4
Wakazi wengi wa mikoa tofauti tofauti nchini Tanzania wamekuwa wakilalamikia Shirika la Ugavi Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuwacheleweshea kuwafikishia huduma za umeme katika maeneo yao llicha ya...
1 Reactions
2 Replies
641 Views
Upvote 1
Jukumu muhimu la vyombo-vya-habari nchini Tanzania ni kuwawezesha Watanzania kujiona wamoja na kama mali ya taifa la pamoja. Vyombo-vya-habari vinaweza kukuza utaifa na demokrasia-ya-watu kupitia...
1 Reactions
5 Replies
910 Views
Upvote 2
Picha: Swahilitimes UTANGULIZI Mara nyingi sana mataifa maskini yamekopa kwa mataifa yenye uwezo lakini hatukuwahi kuona nchi tegemezi zikijikwamua katika hali zake duni za kiuchumi kupitia...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Upvote 16
MUHIMU KWA WAKINA MAMA WOTE WALIO KATIKA UMRI WA KUZAA KUTUMIA VIDONGE VYA FOLIC ACID MIEZI 3 KABLA YA UJAUZITO ILI KUZUIA ZAIDI YA MAGONJWA 100 IKIWEMO MGONGO WAZI NA KICHWA KIKUBWA. FOLIKI ASIDI...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 5
Mfalme Leopold Philippe, nina uhakika yupo kuzimu, meza moja na Henry Morton Stanley. Wanapokaa, unaliona pembe la kushoto la shetani kiangavu zaidi. Najua watakua wanacheka. Ndio, kuna moto...
35 Reactions
17 Replies
2K Views
Upvote 40
UTANGULIZI. Serikali imekuwa ikikumbwa na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma ambapo ubadhirifu huu unasababishwa kwa kiwango kikubwa na maamuzi mabovu yanayofanywa na wizara ama taasisi zake kwa...
3 Reactions
7 Replies
854 Views
Upvote 5
Mara zote mshindi mtarajiwa wa shindano la 'stories of change' huwa anafahamika. Na mshindi huyo huwa habadiliki hata mara moja, labda kwa mtu asiye na macho ya rohoni. Sifa zake ni rahisi tu...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Upvote 11
Itakua 2030, Greta Thurnberg ataenda kuandamana Riksdag kupinga mabadiliko ya tabia nchi. Itafika 2050, kamati ya Nobel itampatia tuzo ya mafanikio ya maisha kwa kubakiza dunia chini ya 3.5°...
54 Reactions
35 Replies
2K Views
Upvote 55
Mbinu za Ufanisi za Kuondokana na Mikataba Mibovu Tanzania Mwandishi: MwlRCT I. Utangulizi Tanzania imekumbwa na janga la mikataba mibovu, likisababisha hasara kubwa kwa uchumi na jamii. Takwimu...
1 Reactions
6 Replies
469 Views
Upvote 2
Utangulizi Uchumi wa Buluu ni nini? Kwa mujibu wa Benki ya Dunia (“World Bank”), Uchumi wa Buluu ni “Matumizi endelevu ya rasilimali za bahari kwa ajili ya ukuaji wa uchumi, kuboresha shughuli za...
3 Reactions
5 Replies
828 Views
Upvote 6
Hisa ni nini Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Kwa kumiliki hisa, mtu anakuwa mwekezaji katika kampuni na anapata haki za kifedha na kisera katika kampuni hiyo. Kuwekeza katika soko la...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Upvote 15
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2007 nilipopata ajira ya kudumu ya ualimu baada ya kuhitimu mafunzo ya astashahada ya ualimu kutoka chuo kimoja maarufu kilichopo wilayani Muleba.Nakumbuka nilipangiwa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Upvote 7
Kuna ukakasi fulani kuhusu matumaini; yanakufanya uamini utamu unaowezekana- ikiwa tu uking’ang’ania zaidi- kabla hujavunjika moyo. Kisha yanachipua tena, na muda huu- kama tochi yenye betri...
17 Reactions
5 Replies
592 Views
Upvote 18
HABARI WADAU Natumai mu wazima, nimefurahia kujitokeza tena kwenye kinyang'anyiro cha shindano hili hapa jukwaani. Nijikite kwenye mada tajwa hapo juu isemayo: "Uwajibikaji mahali pa kazi hulete...
4 Reactions
11 Replies
984 Views
Upvote 6
Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo...
19 Reactions
34 Replies
2K Views
Upvote 30
"Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Upvote 6
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu...
9 Reactions
10 Replies
1K Views
Upvote 9
Constantine J. Samali Mauki Utangulizi Nikiwa mtoto, nilijua watu wanaosafiri kwa ndege ni watalii (kwa maana ya wazungu), matajiri, na viongozi wakubwa wa Serikali. Nilipokuwa mkubwa na mpaka...
5 Reactions
6 Replies
829 Views
Upvote 5
Back
Top Bottom