Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambayo ukishafikisha miaka 60 basi unatakiwa uachane na ajira serikalini. Mfumo huu umeendeshwa kwa muda mrefu tu. Ni kweli ulikiwa mfumo mzuri katika kipindi kile...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Upvote 7
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "Stories of Change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na...
803 Reactions
1K Replies
84K Views
Upvote 1.6K
Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana. Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe...
5 Reactions
66 Replies
9K Views
Upvote 10
Utangulizi Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake...
752 Reactions
1K Replies
70K Views
Upvote 1.3K
INTRODUCTION On budget transparency campaign to call for more participatory planning within the Tanzania national budget the responsible authority believes that majority of people understand the...
1 Reactions
1 Replies
506 Views
Upvote 0
`Kuna mtu hapa Jamii Forum alielezea kisa chake na kwamba anaweza kujifungia ndani akiangalia video za ngono huku akipiga punyeto kwa masaa hata 12. Kuna watu walifikiri hii ni “chai” (uongo)...
20 Reactions
39 Replies
10K Views
Upvote 41
Uraibu upo wa aina nyingi. Kuna uraibu wa pombe, sigara, madawa ya kulevya, na uraibu wa chakula. Leo nitajikita kwenye uraibu wa ngono. Tofauti na uraibu wa pombe, sigara na madawa ya kulevya...
24 Reactions
68 Replies
14K Views
Upvote 39
Internet ni mfumo wa dunia wa kielektroniki unaounganisha kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vinavyokubali mfumo huo. Mitandao ya kijamii ni teknolojia inayohusisha kompyuta ambayo...
7 Reactions
9 Replies
4K Views
Upvote 7
Muhtasari kulingana na kukua kwa takwimu za vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi, Andiko hii imeangazia kwa undani juu ya asili ya wivu, uhusiano uliopo kati ya wivu na mapenzi, namna wivu unaleta...
7 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 8
Kisheria mtu anahesabiwa kuwa ni mtu mwenye haki mpaka pale ambapo mahakama ita thibitisha kuwa huyu mtuhumiwa amefanya kweli hayo makosa anayoshutumiwa kufanya. Na kama mtu ambaye ametuhumiwa...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Upvote 12
Kwa kipindi cha hivi karibuni, tatizo la ajira limepelekea mlengo wa ujasiriamali kuwa ndio habari ya mjini. Tumesikia maneno ya hamasa kwa vijana kuingia kwenye shughuli za kijasiriamali toka kwa...
13 Reactions
14 Replies
2K Views
Upvote 13
Habari hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini vijana wengi wanaona maisha magumu sana katika karne hii ya 21? Majibu yote yapo hapa kwa kiasi chake. Kwa kawaida kijana anahesabika kuanzia umri wa...
6 Reactions
4 Replies
3K Views
Upvote 6
Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! Kwaweli nilikosa jibu kwa muda...
53 Reactions
30 Replies
10K Views
Upvote 49
Ukisoma chapisho la Profesa wa uchumi, ndg George Akerlof, lijulikanalo kama 'market for lemons' utaona anavyofafanua juu ya ugumu wa kupata gari bora pale unaponunua gari lililotumika hasa...
8 Reactions
28 Replies
5K Views
Upvote 12
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza...
10 Reactions
12 Replies
3K Views
Upvote 17
Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Upvote 33
Uwepo wa kila kilichopo semehu kilipo ni matokeo ya muunganiko wa mihimili kadhaa. Hivyo hivyo maisha ya binadamu katika hii dunia yanayo mihimili yake, moja kati ya mhimili wa mhimu katika haya...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Upvote 8
Habari wanajukwaa; Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya na wakati mwema Kama huu,ili niweze kutoa upako wa kweli kuhusu hatma ya wanafunzi waliomaliza KIDATO cha 6 kuhusu nini cha...
164 Reactions
120 Replies
15K Views
Upvote 229
Tangazo la tamthilia ya Sultan toka Uturuki MWAKA 2010 nilifanya mawasiliano na kampuni ya Sony Pictures yenye makao yake Los Angeles (Culver City) nchini Marekani. Sony Pictures ni kampuni kubwa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Upvote 6
Watoto wanaanza darasa la kwanza na wakifika darasa la nne tu mtihani wa taifa huu hapa. Huyu mtoto mdogo unamuekea akilini kwamba shuleni hajaja kujifunza bali amekuja kufaulu mtihani tu. Elimu...
10 Reactions
22 Replies
3K Views
Upvote 12
Back
Top Bottom