Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

  • Sticky
Ule wakati wa Washindi wa Shindano la Stories of Change kujulikana umewadia. Muda wowote kuanzia sasa jopo la majaji baada ya kupitia, kuchambua maandiko na kujiridhisha na maamuzi yao...
17 Reactions
17 Replies
3K Views
Upvote 16
  • Sticky
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Yule mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5 anatarajiwa kutangazwa siku ya Ijumaa Oktoba 15, 2021 katika hafla fupi...
41 Reactions
246 Replies
16K Views
Upvote 41
Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali...
13 Reactions
74 Replies
6K Views
Upvote 15
Jamani kwakweli minniwambie tu ukweli ni kua ikitokea nimeshinda hizo hela kutoka story of change zitanisaidia sana kujiajiri maana hapa nilipo sielewi kesho yangu ikoje ukiona nnafaa kushinda...
1 Reactions
1 Replies
645 Views
Upvote 1
Umuhimu wa Ardhi kwako kijana: Salaam ndugu wana jukwaa la “Stries of change”. Ujumbe wangu wa leo kwenu wana jukwaa utabeba “story” ihusuyo ARDHI. Jukwaani hapa nitajikita Umuhimu wa ardhi...
8 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 8
It is without doubt a fact, that renewable natural resource is a thread that holds together the social economic fabric of the African continent. With almost 55% of the global renewable natural...
2 Reactions
0 Replies
427 Views
Upvote 2
Mwaka 2017 wakati nakaribia kumaliza masomo ya shahada yangu ya kwanza pale chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) nilipata nafasi ya kipekee sana ya kuhubiri mbele ya wanfunzi wenzangu na baadhi...
33 Reactions
19 Replies
5K Views
Upvote 33
Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya...
2 Reactions
5 Replies
922 Views
Upvote 2
GIRL ON FIRE. "OUR HISTORY IS NOT OUR DESTINY". In Tanzania, truer words have never been spoken! 27th January 1960, was just a regular Wednesday, a bouncing baby girl was born in Makunduchi...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Upvote 0
TATII YA YA MALEZI NA WAZAZI “kuwa mama ni kulea na siyo kuzaa na baba ni yule anayewajibika kwa watoto wake” Vijana wamekuwa wakihatarisha maisha yao kwa sababu labda kwa kutokujua au kujua...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 4
IMPORTANCE OF CANCER EDUCATION IN TANZANIA. Introduction Cancer is a generic term for a large group of diseases that can affect any part of the body. Other terms used are malignant tumours and...
4 Reactions
1 Replies
725 Views
Upvote 4
Twenty years ago, I started a journey—a journey of searching for truth. I had to. I’d graduated from the university a couple of years earlier and had a “good” job, but I was by no means contented...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Upvote 0
Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
Na Elivius Athanas. 0745937016. Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje. Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 2
Heko kwa mkandarasi yule tusiewahi kumuona, japo ndie muasisi wa vyote tunavyoviona, kuvisikia na kuvihisi. Ubora na wake ufanisi si vyepesi kuunena, tena abadan si rahisi kuuelezea kwa marefu...
2 Reactions
0 Replies
622 Views
Upvote 2
EMMANUEL STANSLAUS NKAYAMBA Hili ni pendekezo langu kwa viongozi wa Taifa letu la Tanzania kuunda Jeshi la vijana wenye ujuzi na maarifa ya uzalishaji wa kilimo na ufugaji wa kisasa, na kisha...
0 Reactions
1 Replies
410 Views
Upvote 1
At all times Changes is a choice between alternative's and always changes comes with changes,if you can not change the way things are done you can not expect changes in outcome and lastly “The...
2 Reactions
4 Replies
690 Views
Upvote 2
INTRODUCTION: In many years, African have been living collaboratively in rural areas. Through extended family and neighborhood members have been volunteering each other in various ways to...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Upvote 0
Wafugaji ni kundi muhimu sana katika Duniani hii, bila wao hatupati nyama,maziwa,ngozi na mboleya ya samadi. Kwa Tanzania makabila ambayo ni maarufu kwa ufugaji ni Wasukuma,wamasai,wataturu nk...
1 Reactions
1 Replies
712 Views
Upvote 1
Ilikuwa jioni moja tulivu mwalimu Nyerere alipokutana na mwalimu kashasha (mchambuzi mahiri wa mpira wa miguu). hii ni mara ya tatu wanakutana tangu kuwasili kwa mwalimu kashasha kwenye jumba la...
2 Reactions
1 Replies
558 Views
Upvote 2
KATI YA BORA UTAWALA NA UTAWALA BORA NINI TUNATAKA? Na Lumola Steven Kahumbi Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Suala sio Taifa kuwa na...
15 Reactions
20 Replies
2K Views
Upvote 20
Habari wanajamii forum wenzangu, leo tutaangalia sayansi na teknolojia na vijana katika kuleta tija katika taifa letu. Karne hii tumeona vile mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia yakizidi...
1 Reactions
0 Replies
833 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom