Profesa Assad akihojiwa, amesema kuwa katiba mpya ni jambo la muhimu sana
Akasema somo tulilolipata katika utawala uliopita limetuonyesha umuhimu wa kuwa na katiba nzuri.
Profesa Assad amemuambia...
Salaam wana jamvi mimi ni mzalendo ambaye muda wore najivunia kuwa M Tanzania. Nimekuwa nikifatilia Hali ya nchi ya Kenya kusema kweli Kenya inasikitisha
1: Kenya haiheshimu Rais
2: Uhuru wa...
Hawa ccm wanafikiri watanganyika ni wadanganyika. Yaani wachota mabilioni ya Kodiak zetu kuanzisha mchakato wa katiba mpya. Halafu walivyo ona katiba mpya itawatowa madarakan8 wakaamuwa kuzima...
Wanabodi,
Hiki ni kisa cha kufikirika tuu lakini ni kisa cha kweli na ni cha ajabu kweli, ila ndio ukweli wenyewe kwa kitakachotokea kwenye ndoa ya wawili hawa!.
Kwa hapa Tanzania, kwa kawaida...
Kama kweli tumedhamiria kuirudisha Tanganyika tuanze ndani ya chama.
Sitarajii tena kusikia habari za Tanzania bara na visiwani. Tuweke huu muundo mapema kabisa usaidie katika kuleta mabadiliko...
Bunge saizi linaboa,ni la upande mmoja baada ya wenzao wa serikali 3 kutoka,ila naona wale wa serikali 2 wameachiwa nafasi na bado wanashindwa kujenga hoja ya namna kuitoa Tanzania kwenye...
Ili kujenga taifa tulitakalo na kufikia ndoto za wengi, ni lazima tukabiliane na matatizo yaliyomo ndani ya nchi yetu kwa kuboresha na kusimamia sheria.
1. Uwajibikaji wa viongozi katika...
Habarini,
Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Penye nia pana njia na subira huvuta heri. Hii subira ndio imepelekea wakapata mbunge ambaye hata akiwa Dodoma moyo wake uko singida ila mwili wake uko Dodoma. Mh Ramadhan...
Wazaliwa wa Zanzibar wanapenda sana kujiita wazanzibari ila Wazaliwa wa Tanganyika wanakatazwa na wazazinzibar kutukuza Utanganyika.
Marais wote wamekuwa wakijiita watanzania isipokuwa awamu hii...
Kwanamna mambo yalivyo ni dhahiri shahiri kwamba kuipata Katiba Mpya bila ccm KULAZIMISHA nakama ndoto ya mchana kweupe, hawa jamaa wanajua kabisa kwamba Katiba Mpya itawaweka pembeni. Sasa...
Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila amesema Chadema ilikurupuka na kudandia hoja ya Katiba mpya ya nchi bila kuzingatia maslahi ya Watanzania na kuonya kuwa mchakato wa kuunda Katiba...
Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado...
Wote Naamini kwamba Mmemsikia Mzee Kinana , alichozungumza , nadhani sasa Mzee wetu umri umeanza kumtupa mkono (Ni kawaida kwa binadamu kuzeeka na kupoteza uwezo wa kufikiria ) , Mzee wetu anadai...
Wamesema Serikali Tatu gharama na wananchi hawataki Serikali 3 wanataka Amani na Maendeleo.., Sasa sababu maendeleo yanaendana na kupunguza gharama na uwajibikaji, Je ikifika wakati wa kujadili...
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.
Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu...
MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
[Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge...
Msitunyonye bana nyie! Msitunyonye mnatudhiri! Tuachaneni angalau tujikung'ute kidogo! Tumekuwa mafukara; mtu mwenye miaka kumi na tatu amepinda mgongo kama mtu wa miaka sabini na tano! …...
Tusikubali kwenda serikali tatu. Kwa vile tumekatazwa kutaka kuvunja Muungano - japo waliotukataza hawana uwezo huo - na kwamba tunaweza kujadili "muundo" bora wa Muungano.
Ninawasihi watu wa...
Wanabodi,
Sisi wengine wenu humu, japo tuna vyama toka ndani ya mioyo yetu, CCM kimeoza kwa rushwa na ufisadi, from top to bottom, left, right and center hadi kwenye shina lake!, huku hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.