Leo nimetumia muda mwingi sana kusoma Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Kwa kweli nimegundua Katiba yetu ni vituko na vichekesho kabisa. Kwa kweli tusitegemee kupata maendeleo na...
Nimejaribu kutafakari kwa kina mapinduzi ya vyama bila kuihusisha na mabadiliko ya katiba ni sawa na kucheza na majitaka,kila ukinawa bado ni mchafu.Sasa nauliza kuna ulazima wa kutetea...
Mengi yamesemwa wakati Zanzibar ilipofanya mabadiliko ya Katiba yake.Hebu tuangalie makala hii na tujiulize jee ni kweli kunahitajika Katiba nyengine(ya Tanganyika) badala ya zile za Zanzibar na...
Kuna Makala iliyoandikwa na aliyejiita Charles Kayoka kwenye Gazeti la Nipashe la tarehe 18/08/2010 kuhusu kichwa cha habari kama kilivyo hapo juu. Ukitaka habari zaidi bonyeza hapa.
Hata hivyo...
Ndugu wanabaraza,
Kumekuwa na michango mbali mbali kuhusiana na hili suala la katiba ya Tanzania ya Mwaka 1984 kuwa na mapungufu makubwa. Kulingana hayo na ukiangalia watanzania toka uhuru...
Opposition leaders come up with constitution proposal
The opposition yesterday announced a raft of drastic changes in a "draft document" as part of its "roadmap to a new constitution" often...
Na. M. M. Mwanakijiji
Habari ambazo zimekuwa zikitiririka kwa muda wa masaa kadhaa yaliyopita zinatuthibitishia kuwa waoga wanaongoza CCM sasa hivi. Habari za kuwa Spika wa Bunge la Muungano...
Kwa upande mwingine, katiba na sheria zetu zinakataza wananchi kuvunja Muungano, hii ikitafakariwa kwa kina inamaanisha hata kubadili mfumo wa muungano ulioko nk. Mathalani katiba inawataka...
Lipumba azungumzia katiba mpya
Salim Said
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha kuwa anasimamia rasimu ya katiba mpya yenye misingi ya kidemokrasia.
Akizungumza...
wakuu nauliza kama kuna mtu ana nondo za feudal constitution maana nataka kupanua mawazo na nimejaribu kuzisaka bila mafanikio. weka pdf nitaishusha....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.