Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,227
11,416
Nimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu.

Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani, mainjinia sijui wameajiriwa kwa kazi gani, nimehisi nimerudi Dar es Salaam ya mwaka 2000 or ndio mji wa kitalii labda.

Labda nipewe chimbo huenda nimeenda sehemu sio lakini kwaweli ni majanga sana hapa.

Zanzibar mnatakiwa mbadilike mainjinia sijui mnafanya kazi gani mnashindwa kulipendezesha jiji yaani lami kama zimemwagwa zege hovyo hovyo miji ni michafu hatari. Kuwa jiji la kitalii haimaanishi muwe hivyo pendezesheni mji wenu wekeni pawe pasafi kama moshi, tengenezeni lami za kiaasa kama dar pawe pazuri

Plan ya miji iwe kila sehem na migahawa miuzuri na pasafi,
 
Zanzibar wanahitaji mabadiliko ya kifikra, hawajui maendeleo nini sehemu za makazi Yao hakuna tofauti na Keko, Buguruni, Manzese, Magomeni, huwezi kukuta mitaa angalau kidogo iliyopangika, hakuna
 
Zanzibar wanaitaji mabadiliko ya kifikra, hawajui maendeleo nini seheme za makaz Yao hakuna tofauti na keko, bugurun, manzese, magomeni, hiwezi kukuta mitaa angalau kidogo iliyo pangika hakuna
Unaongea kama kichwani kwako kumefungwa nati badala ya ubongo. Umeshafika maeneo ya Mbweni, Mwambasa, Mazizini, ukajionea hayo maeneo yaliyopangika au hapo ulipofika ndio unaona umefika?

Kuhusu five star hotel nenda maeneo ya shamba huko Matemwe, Kiwengwa, Pwani Mchangani, Nungwi Jambiani, Paje kisha uje na mrejesho hapa.
 
Unaongea kama kichwani kwako kumefungwa nati badala ya ubongo. Umeshafika maeneo ya Mbweni, Mwambasa, Mazizini, ukajionea hayo maeneo yaliyopangika au hapo ulipofika ndio unaona umefika? Kuhusu five star hotel nenda maeneo ya shamba huko Matemwe, Kiwengwa, Pwani Mchangani, Nungwi Jambiani, Paje kisha uje na mrejesho hapa.
Zanzibar pabovu mno.
 
Unaweza kwenda England ukawaona washamba sababu wana nyumba za kizamani na matofali ya kuchoma.., kumbe wanahifadhi asilia yao (Victorian era)...

Sasa miji yote ikifanana kama New York watu tutashindwa kupata a Change of Scene....
 
Aisee wewe jamaa unaona mbali sana, kuna watu hawajui kama kuna miji iko ndani ya hifadhi ya UNESCO na ukijaribu kuuondoa uhalisia wake unapoteza ufadhili wa UNESCO.
 
Unaongea kama kichwani kwako kumefungwa nati badala ya ubongo. Umeshafika maeneo ya Mbweni, Mwambasa, Mazizini, ukajionea hayo maeneo yaliyopangika au hapo ulipofika ndio unaona umefika?
Kuhusu five star hotel nenda maeneo ya shamba huko Matemwe, Kiwengwa, Pwani Mchangani, Nungwi Jambiani, Paje kisha uje na mrejesho hapa.
Sehemu zilizopangika zipo kama Kijichi, Chukwani n.k,

Hotel nzuri zipo shamba, Mbuzini, Matemwe, Nungwi au atembelee Tunguu huko
 
Back
Top Bottom