Yule forward hatari wa Waydad sikumuona Jumamosi, Ijumaa kuna kiama

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,849
Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi.

Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad.

Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
 
Fuatilieni mpira acheni ushabiki maandazi
 
Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi.

Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad.

Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
sio huyo wapo wengine pia
 
Ukiheshimika Kwa Jambo fulani jaribu kutunza heshima yako Kwa kukalia kimya mengine usiyoyajua vizuri. Nawaona hata wanasiasa Wenye heshima wanashobokea soka kishamba na kuishia kuchambwa tu.
 
Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi.

Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad.

Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
Watu wamechafukwa mpaka wamekunyima likes

Aaaahaaa acha nikupe moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom