Pathetic!Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.
Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.
Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.
Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.
Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.
Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.
Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.
Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.
Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?
Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?
Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.
Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!
We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.
Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Pathetic!
Ye akiguswa kwenye matukio mengine anaanza kutishia kuwaloga watoa taarifa na kujifanya uvumilivu wake umefikia mwisho..lakini ye kila siku anawajaza wenzie shutuma..Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.
Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.
Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.
Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.
Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.
Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.
Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.
Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.
Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?
Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?
Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.
Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!
We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.
Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Pole sana!Hivi we kamanda unaijua hata maana ya hilo neno kweli wewe?
Kwanza umelisikia kwa nani? Lissu?
Leo umepatwa!Hivi we kamanda unaijua hata maana ya hilo neno kweli wewe?
Kwanza umelisikia kwa nani? Lissu?
Huyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.
Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.
Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.
Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.
Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.
Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.
Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.
Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.
Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?
Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?
Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.
Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!
We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.
Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Na umekuja kuchangia utumbo??
Kamanda brain teh teh teh
Nime kuonesha tu Utumbo wako .
Bila shaka ataitwa kituo cha polisi kwa mahojianoHuyu jamaa ana rekodi ya kuropoka ropoka tu mambo na wala huwa habanwi kuthibitisha ayasemayo.
Si mwingine, ni huyu Zito [ndiyo, naliandika jina lake bila ‘T’ mbili] Kabwe.
Pamoja na kauli zingine za ajabu ajabu, huko nyuma alishawahi kusema anawajua au ana orodha ya Watanzania walioficha pesa huko Uswisi.
Cha ajabu, hakuwahi kuwataja. Alisema tu wapo na anawajua.
Sawa, mdomo ni wake na anaweza sema lolote lile.
Uzuri ni kwamba, kusema tu kuwa jambo fulani lipo au kitu fulani kipo, hakufanyi hilo jambo liwepo au hicho kitu kiwepo.
Haya, sogeza siku mbele hadi hii leo, jamaa kaja na ingine.
Anadai eti mkuu wa polisi, Kamanda Sirro, anajua Mo Dewji alipo.
Yeye huyo Zito kajuaje kuwa Kamanda Sirro anajua?
Yeye Zito na Sirro walishirikiana kumteka huyo Mo?
Watu wengine bana. Kazi kuropoka ropoka ili mradi tu was ifike na wafuasi wao huku kwenye mitandao ya jamii.
Na hapo inatafutwa kila aina ya sababu kumhusisha Rais Magufuli!!!!
We Zito kama unajua kuwa Kamanda Sirro anajua alipo Mo, maana yake na wewe unajua alipo Mo.
Wasaidie familia yake kwa kuwafahamisha alipo. Siyo kushinda Twitter na kuropoka ropoka pasipo na ithibati.
Wengine wanasema ile gari ya Sirro chini ina jeki, sijui mazingira sio collesium blah blah ....na kuita press juu huku majuzi hakuna la maana aliloongea.
Yaani hata kama Polisi labda wanakosea lakini hao waliojipa dhamana ya kuwa wasemaji wa hili wanakurupuka mno kuliko hata hao Polisi.
Tunamtaka MO kwa juhudi zote lakini ni vema tusikurupuke na matamko hadi kuishia kuzidi ku complicate issues unnecessary.
Watu wanazungumza maneno mazito kama vile wana uhakika kabisa au wanajua MO alipo! Kuweni wazi ili Watanzania wajue badala ya hakika iliyojaa mafumbo.
Alafu Lema hiyo press kesho njoo na habari mpya mzee badala ya hadithi ambazo kila siku tunazipiga humu. Kwa nafasi zenu mnaweza ku handle hili kwa tija zaidi badala ya kukurupuka kuliko hao wakurupukaji wenyewe.
Mo ayafanye yote ili nn kwana anadhiki gani au ni kitu gani anatafutaHapana Zito Kabwe haropoki bali anajua fika anachokiongea, yeye ni sehemu ya conspiracy yote hii pamoja G.Lema, hata chadema wanajua, kuna sababu kwa nini Tundu Lisu wao hajaposti chochote hapa JF kuhusiana na hili mpaka sasa hivi kwani siyo kawaida kwenye tukio lolote lile, hivyo kamwachia Waziri muhisika Lema na Zito Kabwe, hivyo kwangu mimi huu mpango umesukwa na Dewji, mwenyewe na kuwashirikisha wote wanaojitokeza sasa hivi.
Wanasema Dewji aliendesha mwenyewe bila ya dereva kwenda gym wakati siyo kawaida yake, wanasema siku zote huwa na dereva, inaelekea hapa walishajifunza kutoka kwenye ishu ya Tundu Lisu na dereva wake, ili kuondoa mtu mwigfine ambaye angeweza kuulizwa akaamua kuendesha peke yake ili iwe muhusika ni yeye tu!
Kiukweli zito kabwe na Goblesa Rema wanazingua wangefyekelewa mbali sema kwakua vyombo husika vishajua hawana madhara wanawadharau