Yanga yavunja rekodi yao waliyojowekea wenyewe

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,981
11,823
Kumbe majamaa hayajawahi kugusa robo fainali toka dunia iumbwe ndio mara yao ya kwanza,ndio maana yanavua mpaka nguo kwa kushangilia robo ya luzaz

UTOPOLO Performance in CAF competitions

CAF Champions League: 15 appearances [10]

1997 – Preliminary Round
1998 – Group stage (Top 8)
2001 – Second Round
2006 – Preliminary Round
2007 – Second Round
2009 – First Round
2010 – Preliminary Round
2012 – Preliminary Round
2014 – First Round
2016 – Second Round
2017 – First Round

2022 – First Round
2023 –First Round

CAF Confederation Cup: 5 appearances

2007 – Intermediate Round
2008 – First Round
2011 – Preliminary Round
2016 – Group stage (Top 8)
2018 – Group stage (Top 16)

Source: wikipedia

Ukinuna uwe na sababu ndegeles
FB_IMG_1680591548807.jpg
JamiiForums1291591030.jpg
 
Kumbe majamaa hayajawahi kugusa robo fainali toka dunia iumbwe ndio mara yao ya kwanza,ndio maana yanavua mpaka nguo kwa kushangilia robo ya luzaz

UTOPOLO Performance in CAF competitions

CAF Champions League: 15 appearances [10]

1997 – Preliminary Round
1998 – Group stage (Top 8)
2001 – Second Round
2006 – Preliminary Round
2007 – Second Round
2009 – First Round
2010 – Preliminary Round
2012 – Preliminary Round
2014 – First Round
2016 – Second Round
2017 – First Round

2022 – First Round
2023 –First Round

CAF Confederation Cup: 5 appearances

2007 – Intermediate Round
2008 – First Round
2011 – Preliminary Round
2016 – Group stage (Top 8)
2018 – Group stage (Top 16)

Source: wikipedia

Ukinuna uwe na sababu ndegelesView attachment 2580334View attachment 2580335
Ndugu Mbumbumbu Yanga ndio timu ya kwanza kushiriki mashindano ya vilabu bingwa Afrika kutokea Tanzania 1967.
Yanga ndio timu ya kwanza kucheza robo fainali mara mbili mfululizo kutoka Tanzania1969, 1970 na mara zote walicheza na Asante Kotoko ya Ghana.

Yanga ikaja kucheza robo fainali ya kombe la washindi barani Afrika 1995 timu ya yoso wakina Maalim salehe,Silvatus Ibrahimu, Anul Awadhi n.k
Yanga ikaja kucheza robo final 1998.

Yanga akaja kucheza group stage ya Caf confederation cup 2016,2018.
Yanga ameingia robo final Caf confederation cup 2023.
Kama mleta mada ulikua bado mdogo au hujazaliwa muulize ata Babayako atakua anafahamu nilicho andika.
 
Manara ajengewe sanamu kubwa sana.....

Umeambiwa mambo ya klabu bingwa unaleta ushubwada usioeleweka hebu lete source inayoeleweka .......jinga wee,

Klabu bingwa imeanza 1967?????lete habari za klabu bingwa...usilete mbambamba
 
Hii Sasa ni zaidi ya umbumbumbu lakini hatuna budi kutoa shule.
Mashindano ya klabu bingwa barani Afrika yalianza 1964, Ndio mashindano ayoayo kwasasa yanaitwa CAF champion league.
Punguza u mbumbumbu.

Nisawa na Ligikuu uingereza ilikua ikiitwa First Division league na kubadilishwa jina 1992 kuitwa Premier league, Nisawa na Ligi yetu ya NBC apo Nyuma iliitwa Ligi Daraja la kwanza, kwasasa inaiywa Premier League.
Itategememea mzamini ni nani, imeshawai kuitwa Safari, Vodacom na Sasa NBC.
CAF kwasasa ligi ya Mabingwa inaitwa TOTAL ENERGY CAF CHAMPION LEAGUE.
 
CAF kwasasa ligi ya Mabingwa inaitwa TOTAL ENERGIES CAF CHAMPION LEAGUE zamani ikiitwa African cup of champion club.
 
Sasa si mpaka upite makundi,unafikiri ukivurunda makundi unaonda robo!!??
Hivi unafahamu unawaaibisha mashabiki wenzako humu jukwaani, kupitia hizi mada zako za kukurupuka?

Yaani unawafanya washindwe hata kukuunga mkono/kukutetea! kutokana na mada zako nyingi kutawaliwa na umbumbumbu uliopitiliza!

Tatizo ni nini? Relax young brother.
 
Hii Sasa ni zaidi ya umbumbumbu lakini hatuna budi kutoa shule.
Mashindano ya klabu bingwa barani Afrika yalianza 1964, Ndio mashindano ayoayo kwasasa yanaitwa CAF champion league.
Punguza u mbumbumbu.

Nisawa na Ligikuu uingereza ilikua ikiitwa First Division league na kubadilishwa jina 1992 kuitwa Premier league, Nisawa na Ligi yetu ya NBC apo Nyuma iliitwa Ligi Daraja la kwanza, kwasasa inaiywa Premier League.
Itategememea mzamini ni nani, imeshawai kuitwa Safari, Vodacom na Sasa NBC.
CAF kwasasa ligi ya Mabingwa inaitwa TOTAL ENERGY CAF CHAMPION LEAGUE.
Bahati mbaya sana unamuelewesha kijana wa Rage, ni ngumu kukuelewa!!
 
Hii Sasa ni zaidi ya umbumbumbu lakini hatuna budi kutoa shule.
Mashindano ya klabu bingwa barani Afrika yalianza 1964, Ndio mashindano ayoayo kwasasa yanaitwa CAF champion league.
Punguza u mbumbumbu.

Nisawa na Ligikuu uingereza ilikua ikiitwa First Division league na kubadilishwa jina 1992 kuitwa Premier league, Nisawa na Ligi yetu ya NBC apo Nyuma iliitwa Ligi Daraja la kwanza, kwasasa inaiywa Premier League.
Itategememea mzamini ni nani, imeshawai kuitwa Safari, Vodacom na Sasa NBC.
CAF kwasasa ligi ya Mabingwa inaitwa TOTAL ENERGY CAF CHAMPION LEAGUE.
Hapo kuna mambo mawili AKILI HUNA au HUNA AKILI......

Tuliposema Simba SC ni finalist wa kombe la shirikisho mna bisha kwa hoja kwamba lile lilikuwa linaitwa kombe la CAF yaani CAF CUP, hali ya kuwa kombe hilo la shilikisho lilianzishwa baada ya kuvunjwa kwa kombe la caf na kombe la washindi...

Ila wewe unaleta hoja hiyohiyo kuhalalisha kuwa mlifika hatua ya robo kipindi sijui lilikuwa linaitwa kombe gani sijui huko huo ni UTAAHIRA.....
Hapa tunazungumzia CAFCL sio hizo takataka nyingine....na source nimekuwekea otherways onesha chanzo chako cha taarifa kinachooneaha kuwa mlifikia hiyo hatua hapa,kama hakuna kaa kimya

NDIO MAANA MNACHEZEWA NA MANARA SABABU AKILI ZENU NI SIFURI.
20230407_134057.jpg
 
Hivi unafahamu unawaaibisha mashabiki wenzako humu jukwaani, kupitia hizi mada zako za kukurupuka?

Yaani unawafanya washindwe hata kukuunga mkono/kukutetea! kutokana na mada zako nyingi kutawaliwa na umbumbumbu uliopitiliza!

Tatizo ni nini? Relax young brother.
Weka source inayoonesha mmefika robo fainali ya klabu bingwa kisha andika thread closed, ila kama huna chanzo toa utopolo wako hapa

Hoja kwa hoja sio mbambamba.....
 
Back
Top Bottom