Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

Kipindi ambacho Yanga itaanza kuyumba ndio tutajua uozo wa viongozi wao hata Simba ilikuwa inajificha kwenye mafanikio ila sasa hivi kila kitu kipo wazi Yanga nayo mda ukifika tutajua mengi ambayo yamejificha
Tuanzishe kabisa kikundi cha maombi, tupige maimbi hadi hili litokee
 
Jibu ulichoulizwa wewe, ndiyomaana unafeli kindezi badala ya kufata maelekezo ya mtihani unajiandikia tu hata kisichohusiana na swali.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Huu ni mtihani kumbe? Ubinadamu kweli kazi.
 
Hamna aliyetandikwa hapo sababu adhabu imetoka kipindi sio cha usajiri. Haina impact sana kwa sasa. Na kabla ya usajiri watakuwa wameshalipa. Miaka yote hiko hivyo
Ukishindwa kesi umetandikwa sababu si kuna gharama za kesi? Ungelipa kabla ya kesi ungeziepuka.
 
Huu ni mtihani kumbe? Ubinadamu kweli kazi.
Mtihani ni mfano unaohusika jinsi Watahiniwa kama wewe wanavyofeli mitihani kwa kutofata maelekezo ya maswali kiusahihi, umeamua kuhamisha mada

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Naomba kuuliza kwani TFF hua wanaulazima gani kuweka hizi barua public wakati ni mambo ya kiofisi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wadau na mashabiki waelewe kinachoendelea. Kesho wakisikia club haisajili ila pesa ipo na kuna uhitaji waelewe sababu. Ni kama kampuni za uma zinavyoweka hesabu magazetini.
 
Wadau na mashabiki waelewe kinachoendelea. Kesho wakisikia club haisajili ila pesa ipo na kuna uhitaji waelewe sababu. Ni kama kampuni za uma zinavyoweka hesabu magazetini.
Wadau ni kina nani kama sio viongozi wa timu husika? ukisha wapa barua wahusika wao ndio wana jukumu kuwaambia wanachama wake kwani TFF haina madeni ni wapi hua wanatangazwa kua wanadaiwa?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kipindi ambacho Yanga itaanza kuyumba ndio tutajua uozo wa viongozi wao hata Simba ilikuwa inajificha kwenye mafanikio ila sasa hivi kila kitu kipo wazi Yanga nayo mda ukifika tutajua mengi ambayo yamejificha
Suala la kuyumba kwa yanga liondoe akilini mwako, Kama ndio ndogo unayoitegemea ifute kwa wino mweusi, yanga keshaweka mifumo makini ya kufanya isimame imara ndio maana ya transformation, kwaiyo usiitegemee yanga ya bakuli kurudi tena
Una upambavu na utaahira unaokusumbua!
Kama unaona ilichofanya Yanga ni sawa, basi wasilipe na kwa kuwa wameshafungiwa waendelee kuwatumia hao akina Aziz!
Na pia kama yapo magarasha mengine yatimueni, bila kuwalipa uone wengine wataagizwaje!
Hapa hoja si kuwaacha mlioona ni wabovu, walipeni maana bila kuwalipa rungu lazima liwakute kama ilivyotokea, na hakuna namna mtaweza kuepuka kulipa!
Msipolipa hakuna kusajili!!
Mbona povu linakutoka sana shida Nini? Stress au kitu Gani? Timu ngapi zimefungiwa kusajili? Amefungiwa yanga mmepata chaka la kubwabwaja? Mchezaji atalipwa na usajili utafanyika tafuteni kingine!
 
Wadau ni kina nani kama sio viongozi wa timu husika? ukisha wapa barua wahusika wao ndio wana jukumu kuwaambia wanachama wake kwani TFF haina madeni ni wapi hua wanatangazwa kua wanadaiwa?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hawajatangaza madeni, wametangaza adhabu iliyotokana na kesi ya madai. Kwani deni la Yanga ni hili tu? Mbona hayo mengine hawayatangazi?
 
Hawajatangaza madeni, wametangaza adhabu iliyotokana na kesi ya madai. Kwani deni la Yanga ni hili tu? Mbona hayo mengine hawayatangazi?
Wangeanza kutangaza madeni wanayo daiwa wao kwanza kama mfano, unapo peleka barua ofisi kwenye taasisi unaenda kuiweka hadharani? nenda page ya FIFA kama utakuta kuna hizo taarifa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ikiwa ndogo haina madhara ndiyo sababu kila mwaka zinakuja hukumu tena na ni hizi hizi ambazo hazina madhara
Kwanini hazina madhara? Huwa zinatengewa bajeti? Kwanini isitengwe bajeti ya malipo hata kwa awamu mchezaji asishtaki? Binafsi nadhani zina madhara sema kufungua kesi ni gharama na ni risk, unaweza usishinde, hii inawafanya wahusika wachukulie poa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom