Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,085
- 3,729
Hapo vip,
Nimejiuliza maswali sana kuhusiana na hizi kelele za yanga dhidi ya Simba sc, kuweka mabango na kalele.za kufika robo fainali club bingwa.
Majibu ni kwamba yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake.
Kwasababu tokea Dunia kuumbwa na yanga kuanzishwa ndio mara a kwanza imefika robo final ya kwanza club bingwa mwaka 2024.hili ni kwamujibu wa CUF wenyewe. Achana na hizi stori za haji manara na za wajinga wenzake.
Yanga ni club ndogo sana kwa simba sc ndio maana inaangaka na mabango na mipasho mitandaoni.
Simba sc imeshacheza hizo robo final za club bingwa mara sita sasa yanga mara moja,Simba sc ilishacheza nusu final club bingwa 1974.
Ukubwa wa club sio mwaka wa uwazishaji bali ni ubora wake katika bara lake na namna inavyojulikana..Simba sc ni club ya 5 kw ubora barani Afrika japo kwasasa inapitia wakati mgumu sana ila itakuja kuwa imara na bora kuliko nyakati zote.
Tukiangalia ukubwa wa club kwa tarehe ya uwazishaji basi hata huku mtaani kuna timu kubwa kuliko yanga na Simba kwasababu huku mtaani kuna timu zimeanzisha siku nyingi kuliko Simba na yanga.
Simba sc bora na imara inakuja