Yanga japokuwa wameshinda na kufuzu robo fainali, lakini kiwango bado kipo chini

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,425
36,026
Yanga wamefanikiwa kuweka historia mpya katika klabu yao kwa kutinga robo fainali ya klabu bingwa ya afrika, lakini kiuhalisia kiufundi kiwango bado kipo chini kidogo ikiwa wanataka kusonga mbele zaidi na hapa nitaonyesha dosari kadhaa kwa kutumia mechi ya jana.

1. Kuchelewa kuimaliza mechi mapema. Mtindo wa Yanga kufufukia/kuamka baadaye sana ili kupata ushindi mnono. Ukitazama vizuri siku ya jana waarabu waliingia mapema sana kwenye mfumo lakini Yanga wakachelewa kuimaliza mechi. Kwa mechi ya jana muarabu alipaswa awe ameshakandwa goli tano kabla ya dakika ya 60.

2. Pasi za kurudisha nyuma (back pass) umekuwa ugonjwa mkubwa wa Yanga.

3. Kucheza faulo nyingi pasipo sababu ya msingi.

4. Kushindwa kutengeneza nafasi za kutosha za mipira ya kutenga au kushindwa kufunga kwa mipira ya kutenga (Free kick, indirect kick, Corner, Penalty)

5. Papara wakati wa kuokoa

6. Ubinafsi wakati wa kutaka kufunga.

7. Kunaswa kirahisi kwenye mtego wa kuotea au kushindwa kuufyatua kirahisi mtego wa kuotea.

8. Kasi ndogo ya kufanya counter attacks.

9. Kuchoka mapema kwa baadhi ya wachezaji na kuchelewa kuwapumzisha.

Pamoja na dosari hizo, lakini kuna uimara Yanga waliweza kuuonesha jana. Kwa mfano;
-Uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja kwenye kukaa na mpira, kufunga nk.
-Kiu ya timu nzima kusaka ushindi.
-Kujiamini kwa mchezaji mmoja mmoja
-Pasi ndefu za haraka haraka kutokea katikati
-Pasi msumari wa moto ndani ya box
 
Mzee wale wachezaji wamejitahidi sana Belouizdad ni timu iliyozoea kucheza robo fainali, ni timu iliyokuwa kwenye rank ya juu sana kwenye rank za CAF, wale ni mabingwa wa Algeria sio Tembo fc wale. Kila kitu kimefanywa kadri wawezavyo. Mziki wa Belouizdad ni mkubwa na wachezaji wa Yanga wamejitoa sana kupata magoli mengi vile plus clean sheet
 
Sawa mchambuzi
 
Unahangaika na mtu mwenye wivu mkuu Kila kitu kilikua perfect jana.
Watu wamezuia njia ulitaka walazimishe kupiga pasi za mbele?
Pasi za nyuma ni kutaka kuifungua timu itoke nyuma ifate mpira na hili Yanga walifanikiwa kwa asilimia kubwa.
 
Yanga wamefanikiwa kuweka historia mpya katika klabu yao kwa kutinga robo fainali ya klabu bingwa ya afrika, lakini kiuhalisia kiufundi kiwango bado kipo chini kidogo ikiwa wanataka kusonga mbele zaidi na hapa nitaonyesha dosari kadhaa kwa kutumia mechi ya jana.

1. Kuchelewa kuimaliza mechi mapema. Mtindo wa Yanga kufufukia/kuamka baadaye sana ili kupata ushindi mnono. Ukitazama vizuri siku ya jana waarabu waliingia mapema sana kwenye mfumo lakini Yanga wakachelewa kuimaliza mechi. Kwa mechi ya jana muarabu alipaswa awe ameshakandwa goli tano kabla ya dakika ya 60.

2. Pasi za kurudisha nyuma (back pass) umekuwa ugonjwa mkubwa wa Yanga.

3. Kucheza faulo nyingi pasipo sababu ya msingi.

4. Kushindwa kutengeneza nafasi za kutosha za mipira ya kutenga au kushindwa kufunga kwa mipira ya kutenga (Free kick, indirect kick, Corner, Penalty)

5. Papara wakati wa kuokoa

6. Ubinafsi wakati wa kutaka kufunga.

7. Kunaswa kirahisi kwenye mtego wa kuotea au kushindwa kuufyatua kirahisi mtego wa kuotea.

8. Kasi ndogo ya kufanya counter attacks.

9. Kuchoka mapema kwa baadhi ya wachezaji na kuchelewa kuwapumzisha.

Pamoja na dosari hizo, lakini kuna uimara Yanga waliweza kuuonesha jana. Kwa mfano;
-Uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja kwenye kukaa na mpira, kufunga nk.
-Kiu ya timu nzima kusaka ushindi.
-Kujiamini kwa mchezaji mmoja mmoja
-Pasi ndefu za haraka haraka kutokea katikati
-Pasi msumari wa moto ndani ya box
wewe ukocha ulisomea wapi?au kwenye utube?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom