Yanga angecheza na Mwarabu tena CAFCC

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
736
Kama Yanga kimataifa angemtoa Etoile Du Sahel angekutana na Raja ya Morocco kwenye kundi A kwenye draw ya CAfCC iliofanyika muda mfupi uliopita...TUJIPANGE MSIMU UJAO KWA MASHINDANO MAKUBWA ZAIDI YA CAFCL
#CAFCC Group A:

Al Ahly/Club Africain
Espérance/Hearts of Oak
Raja/ES Sahel
Stade Malien/AS Vita Club
 
Yaani dua zangu zote naomba bora tufungwe tu na Azam maana sisi kutolewa na waarabu tumekuwa hatuna rahaa mjini mikia inachonga sana
 
Daah kandambili wapepona,maana hapo kwa Raja Casablanca kandambili angechezea nakoz home/away...
 
CAF CHAMPIONS LEAGUE GROUPS
#CAFCL
THE GROUP DRAW
Group A: Smouha, MA Tetouan, TP Mazembe, Al Hilal
Group B: ES Setif, USM Alger, El Merrikh, MC Eulma
 
Back
Top Bottom