Calnde
JF-Expert Member
- Oct 7, 2008
- 1,373
- 277
Katika pitapita yangu nimeipata hii nikaona si vibaya nikaiweka though inawezekana mnaifahamu.Kwamba in 1960's Sitta na Mwenzake waliongoza mgomo pale UDSM na kusababisha Nyerere kufukuza wanachuo.Baadae walirudishwa kutokana na mipango ya menejiment ya chuo Lakini Nyerere alikuwa mgumu kumruhusu Sitta kurejea masomoni.Hata hivyo Baadae alirejeshwa chuoni kwa masharti ya kuchapwa viboko na Mwalimu mwenyewe.(mind you at that time he wa Mr President)
Je hawa watu wengi waliopitia UDSM na sasa ni maarufu Tanzania na duniani wanafanyaje kuinua elimu yetu?
Je hawa watu wengi waliopitia UDSM na sasa ni maarufu Tanzania na duniani wanafanyaje kuinua elimu yetu?