Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

Mm sipo insta mkuu
Screenshot-2020-01-05-at-08.20.13.png
hiyo ya 2020 from Millard ayo
 
Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu.
Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki.


View: https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-

MKUUUU KWENYENYIMBOOOOOO TUTAKULA HALLLELUYA TUTAONANAA MPAKA.MWISHOOOO HATA KAMA TUTAPISHANA NAEEE
 
MAHALII N PAZURIII NDUGU WANAPOKAAAAAA WAKIPENDAAANAA VYEMAAA NA WAKI ......<YAAANHATA WANAFIKI WANAKUWEPO MSIBAN ....
 
Back
Top Bottom