Mbona mi ndo ninayoitumia mkuu! Ni Microsoft Lumia 650 Dual SIM, kama una laki tano naweza kukuuzia yangu, maana ndo kwanza ina wiki mbiliView attachment 389516
Hii simu mpaka leo haijafika Tanzania, nafikiri kwa price/features hii ni one of the best looking and affordable smartphone
Ahsante mkuu, Niliitafuta sana nikaikosa, ila nimeshaagiza ebay nasubiri mzigo ufikeMbona mi ndo ninayoitumia mkuu! Ni Microsoft Lumia 650 Dual SIM, kama una laki tano naweza kukuuzia yangu, maana ndo kwanza ina wiki mbili
Mkuu unaweza nisaidia link ya kupata hiyo W10 pro kwa pc?! ahsantehKwa wale fans wa Windows phone, Tayari annivesary update kwa windows phone ishatolewa kwa baadhi ya simu zinazotumia windows. Binafsi natumia Lumia 640, Mwaka jana nilisema ngoja nitest ladha ya WP10. Nikaingia katika insider rings na kuupdate kwenda WP10 preview.
Bahati mbaya nilikuwa disappointed sana, kwani baada ya updates kadhaa simu ilikuwa na matattizo lukuki kama vile app kucrash bila sababu, Na tatizo sugu la simu kuisha chaji haraka. Kwani kuna update moja nilifanya simu ilikuwa inaisha chaji baada ya masaa manne, haikujalisha umeitumia ama laa. Nikaona isiwe tabu. Acha nifall back to WP8, nikarudi zangu WP8 na simu kurudi katika normal mode. Maisha yakaendelea.
Sasa August 16 Microsoft wametoa official release ya windows phone 10. Kuipata na kujua kama simu yako inauwezo wa kupata WP10, nedha katika market, download app inayoitwa "Upgrade advisor". Ukishaipata hii app itakueleza na kukuguide through whole upgrade process. kutokana na reviews nyingi mitandaoni zinasema matatizo sugu ya charge, simu kuhang, na app kucrash yamekwisha.
Pia inashauriwa kama ulikuwa na windows phone 10 preview hapo kabla uliyoipata katika isider rings, just fall back to WP8 kwanza. Then uanze fresh WP10 annivesary update kwa kupitia upgrade advisor. Binafsi baada ya microsoft kutoa annivesary update nilikuwa nangoja reviews za wadau nione kama hayo matatizo ya WP10 niliyokumbana nayo yaliyokuwa katika preview version yamekwisha au laa. Wadau wengi walioenda WP10 annivesary update wamerecomend vizuri. So i am preparing kufanya major update ya WP10.
Kumbuka kufanya backup ya files zako muhimu kama vile picha, video, docs etc kabla ya kufanya update. kwani zitapotea baada ya kuupdate.
So nawakaribisha wadau wote wa windows phone hususan wale walioupdate OS kwenda WP10 anniversary kutoa experience zao baada ya kufanya updates.
os ya ma icon ya rectangle ngoja nisubiri TIZENKaribu mkuu ufurahie ulimwengu wa smooth running OS.
umeona enheeeHizi windows phone zinakosesha sana uhuru ayse staki kuziona kabisa
Mkuu hyo simu tatizo touch au kioo? Unaweza pata kariakoo bei ya kioo andaa kuanzia elfu 20 kuendelea,Touch pia andaa kuanzia elfu 15 kuendelea hiyo ni bila ufundi kifupi inatakiwa uwe kama na elfu 50Pia mwenye idea na bei za kioo cha 625 anisaidie ili nijue najipanga panga vipi.
Jaribu kucheki store kama kuna application maana mi niliwahi kubadili za msg tuIv kuna uwezekano wa kubadilii font style kwenye windows phone?
Sent from mTalk
yan mm hata izo za meseji poa tu ndo ulitumia app gan?Jaribu kucheki store kama kuna application maana mi niliwahi kubadili za msg tu
sio icon ni tiles, zinatoa informationos ya ma icon ya rectangle ngoja nisubiri TIZEN
unaweza kubadili fonts kama simu yako umei interop unlock, ila ni kazi kubwa kidogo kama hujui ufanyaloIv kuna uwezekano wa kubadilii font style kwenye windows phone?
Sent from mTalk
Hapo ufafanuzi tafadhari nina bando la kutosha na nipo na laptop hapaunaweza kubadili fonts kama simu yako umei interop unlock, ila ni kazi kubwa kidogo kama hujui ufanyalo
unaweza kubadili fonts kama simu yako umei interop unlock, ila ni kazi kubwa kidogo kama hujui ufanyalo
[/QUOTE
Icho kitu cfahamu
Sent from mTalk
Tatizo lilianzia kwenye touch kaka,nikitaka kuandika sms mfano nikiandika M ilikuwa inaandika A na kujitoa lock bila kujua,nadhan tatizo ni programming ndiyo maana nataka nkawaone midcom ila kioo kilivunjika baada ya tatizo hilo,hii issue ya kioo nitaimaliza hapo kkoo.Mkuu hyo simu tatizo touch au kioo? Unaweza pata kariakoo bei ya kioo andaa kuanzia elfu 20 kuendelea,Touch pia andaa kuanzia elfu 15 kuendelea hiyo ni bila ufundi kifupi inatakiwa uwe kama na elfu 50
Pia mwenye idea na bei za kioo cha 625 anisaidie ili nijue najipanga panga vipi.