Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

Siwaelewi wenye mawazo haya, wakati wakipigia debe kugawanya mikoa na wilaya kwa sababu zisizokuwa na mashiko, watu hawa hawataki serikali za majimbo.
Sababu za kusogeza huduma ni kudumaza akili. Kwanini huduma hizo zisifuate watu?
 
Tatizo la nchi hi sio kuunda mkoa mpya hapana hata wale walioko karibu na makao makuu ya mkoa huduma muhimu hawapati.......tatizo la nchi hi ni uduni wa elimu afya maji na ufisadi uliokithiri
binafsi huwa najiuliza kipindi cha Wakoloni na Nyerere mpaka Mwinyi tulikuwa na mikoa michache na wasomi wachache achilia miundo mbinu hafifu(haikuwepo kabisa) lakini nchi haikuwa na lundo la viongozi.
sasa tuna viongozi wasomi lakini wengi ni watawala wako kuimega vizuri keki ya taifa.
binafsi sioni maslahi mapana kwa utitiri huu wa mikoa kama hakuna maboresho ya uongozi bora wenye kutengeneza fursa kwa wote kwa maslahi ya jamii kwa ujumla.
vinginevyo ni kutuongezea gharama za kuwatunza watawala na si viongozi wanaoangalia maslahi yao zaidi na waliowaweka.
 
Ujinga huu uko maeneo mengi ya afrika. Chukulia mfano wa Nigeria.
Wakati mkoloni akiondoka nchi ilikuwa ns majimbo manne. Miaka kadhaa badaye Jenerali Gowan aliunda majimbo mapya na kuifanya nchi hiyo kuwa na msjimbo 12

Leo Nigeria ina majimbo 36 huku baadhi ya watu wakichukua silaha kutaka kujitenga kwani seikali imeshindwa kuwahudumia.
 
Tunatakiwa tupunguze mikoa na wilaya,mimi ninahitaji huduma za kijamii na sio utitiri wa mikoa na wilaya,Tanzania yangu inahitaji mikoa 15 tu na wilaya 50 na wizara 12 tu,gharama za kuendesha serikali ni kubwa mno,na blue lights zinazidi kuongezeka nchini eti CDF naye ana blue lights convoy!!!,General Musuguri hakuhitaji blue lights na kazi ilifanyika ikiwa na kupiganisha vita
sijui tunaenda wapi lakini kadri siku zinavyokwenda viongozi tunawafanya kama wanasesere wa udongo utafikiri hawakutoka kwenye familia zetu hii mbaya sana.
kibaya zaidi tunatengeneza mazingira ya kuzilinda koo fulani zitutawale milele wao na kizazi chao!
Kabla ya hata mkoa haujagawika unaweza kuona wakina nani wanamiliki ardhi sehemu kubwa na maeneo haya na wanataka nini siku zijazo.
 
Ujinga huu uko maeneo mengi ya afrika. Chukulia mfano wa Nigeria.
Wakati mkoloni akiondoka nchi ilikuwa ns majimbo manne. Miaka kadhaa badaye Jenerali Gowan aliunda majimbo mapya na kuifanya nchi hiyo kuwa na msjimbo 12

Leo Nigeria ina majimbo 36 huku baadhi ya watu wakichukua silaha kutaka kujitenga kwani seikali imeshindwa kuwahudumia.
watawala wengi hawako tayari kujifunza na wataalamu wetu wamefyata mkia wanafanya wanayotaka watawala wanaogopa kugombana na Kaisari.
sijui kama wanajua thamani halisi ya shule zao na kwa jinsi watanganyika wanavyowategemea.
lakini wakae wakijua watanganyika wamechoka siku wakiamua hapatashikika wasifikiri kukaa kwao kimya wanaamani ndani mwao hapana wako wanaojenga takari pana na matokeo yake kipo kizazi kitaadhibiwa kwa makosa na ubinafsi wa wazazi wao ni swala la muda!
 
sijui tunaenda wapi lakini kadri siku zinavyokwenda viongozi tunawafanya kama wanasesere wa udongo utafikiri hawakutoka kwenye familia zetu hii mbaya sana.
kibaya zaidi tunatengeneza mazingira ya kuzilinda koo fulani zitutawale milele wao na kizazi chao!
Kabla ya hata mkoa haujagawika unaweza kuona wakina nani wanamiliki ardhi sehemu kubwa na maeneo haya na wanataka nini siku zijazo.
Salute mkuu nchi inahitaji kichwa kama hiki cha kwako chenye mawazo ya push back na sio lalama lalama,watoto wao wapo Havard,wa huku lingusenguse wanalimia meno
 
Tatizo la nchi hi sio kuunda mkoa mpya hapana hata wale walioko karibu na makao makuu ya mkoa huduma muhimu hawapati.......tatizo la nchi hi ni uduni wa elimu afya maji na ufisadi uliokithiri
wale wanaopambana na marehemu watakuambia hata wakati wake Hali ilikuwa hivihivi ingawa wanakili jamaa alikuwa hataki mchezo wenyewe wanamwita katili
 
wilaya,Tanzania yangu inahitaji mikoa 15 tu na wilaya 50 na wizara 12 tu,gharama za kuendesha serikali ni kubwa mno,na blue lights
Wizara 5 tu :- Fedha, ulinzi, mambo ya ndani, Afya na Elimu.

Zilizobaki hata zikifutwa maisha yanaenda kama yalivyo sasa
 
Back
Top Bottom