WhatsApp haififishi ubora wa picha ukimtumia mtu, hivi ndivyo ulivyojiroga mwenyewe

kunonu

Member
Jun 28, 2020
88
121
Watumiaji wengi wa WhatsApp wanautuhumu mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Meta yenye makao yake makuu kunako jiji la California nchini Marekani kufifisha/kupunguza ubora wa picha wanazotumiana kwa WhatsApp.

Wengi wao wanashirikishana mbinu mbadala za kukwepa kadhia hiyo, zikiwemo :

Kutumia app zingine kama vile Xender, Telegram, Bluetooth n.k
Kutuma picha kwa mfumo wa document

TUHUMA HIZI HAZINA HATA CHEMBE YA UKWELI

Kunonu Teknolojia tunadhihirisha hapa kwamba tuhuma hizi hazina mashiko yoyote.

WhatsApp ina namna tatu za kutuma picha,

Auto (recommended)
Best quality
Data Saver

Ukipakua WhatsApp na kuanza kuitumia bila kufanya chochote, itatumia Auto(recommended). Hapa itajali picha zitumwe haraka, hivyo itapunguza ubora.

Ukitaka kuiambia WhatsApp, ubora wa picha ni muhimu kuliko kasi ya kutuma, najua unatumia 5G ya Vodacom , fanya hivi:

Fungua WhatsApp, gusa nukta tatu zilizoko kona ya juu kulia.
Pepesa macho yako hadi chini, halafu gusa 'Settings'
Tafuta kipengele kimeandikwa 'Storage and Data' na ukiguse
Shuka na macho yako hadi mwisho utakutana na kipengele kimeandikwa 'Photo upload quality', gusa hapo na uchague 'Best quality'.
Utakuwa ushajitoa kwenye uchawi uliojiroga mwenyewe, furahia kutuma picha kwa mng'ao safi.

Uzi huu umedhaminiwa na Kunonu Teknolojia , tunauza memory card, flash, hard disk drives, Solid-State Drives(SSDs) na RAM za kompyuta.

Tupo Makumbusho, Dar es Salaam
Wasiliana nasi kwa
#0629831936 au #0765542197
Tunafanya delivari popote Tanzania
 
Ndefu Sana kusoma ungefupisha. Waliosoma Uzi wote msaada kwa muhtasar
 
Hakuna Cha best quality Wala data srever walla Auto recommend, mchawi simu tu, mi natumia Tecno spark two bado quality ndogo nimeangalia Kwa Jiran picha hiyoyo kwenye camon 19pro ni shigda aisee, tubadilishe simu hakuna Cha best quality walaa document
 
Watumiaji wengi wa WhatsApp wanautuhumu mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Meta yenye makao yake makuu kunako jiji la California nchini Marekani kufifisha/kupunguza ubora wa picha wanazotumiana kwa WhatsApp.

Wengi wao wanashirikishana mbinu mbadala za kukwepa kadhia hiyo, zikiwemo :

Kutumia app zingine kama vile Xender, Telegram, Bluetooth n.k
Kutuma picha kwa mfumo wa document

TUHUMA HIZI HAZINA HATA CHEMBE YA UKWELI

Kunonu Teknolojia tunadhihirisha hapa kwamba tuhuma hizi hazina mashiko yoyote.

WhatsApp ina namna tatu za kutuma picha,

Auto (recommended)
Best quality
Data Saver

Ukipakua WhatsApp na kuanza kuitumia bila kufanya chochote, itatumia Auto(recommended). Hapa itajali picha zitumwe haraka, hivyo itapunguza ubora.

Ukitaka kuiambia WhatsApp, ubora wa picha ni muhimu kuliko kasi ya kutuma, najua unatumia 5G ya Vodacom , fanya hivi:

Fungua WhatsApp, gusa nukta tatu zilizoko kona ya juu kulia.
Pepesa macho yako hadi chini, halafu gusa 'Settings'
Tafuta kipengele kimeandikwa 'Storage and Data' na ukiguse
Shuka na macho yako hadi mwisho utakutana na kipengele kimeandikwa 'Photo upload quality', gusa hapo na uchague 'Best quality'.
Utakuwa ushajitoa kwenye uchawi uliojiroga mwenyewe, furahia kutuma picha kwa mng'ao safi.

Uzi huu umedhaminiwa na Kunonu Teknolojia , tunauza memory card, flash, hard disk drives, Solid-State Drives(SSDs) na RAM za kompyuta.

Tupo Makumbusho, Dar es Salaam
Wasiliana nasi kwa
#0629831936 au #0765542197
Tunafanya delivari popote Tanzania
sitakuja kutumia WhatsApp maishani mi mnyama wangu ni telegram tu kwanza chats hazipotei hata nikipoteza simu, kuna feature moja ya saved messages natupia confidentials files zangu humo kama backup server na havijawahi kupotea.
 
Back
Top Bottom