Wenye 'Mabosi' wana Yanga SC Maofisini mwenu kwa leo nawapeni hili ANGALIZO muhimu na mlizingatie

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,115
110,509
1. Hakikisheni mmewahi / mnawahi Kazini Kwenu na ikibidi fanyeni hata zile Kazi ambazo unajua siyo zako

2. Kiwango chako cha Nidhamu Kazini leo kiwe ni cha maradufu

3. Hata kama huwa una Utani nae ila leo usimtanie na jifanye hujui lolote lile

4. Jifanye leo huchangamki ili Kumzuga aone upo nae katika Maombolezo ya Msiba mzito uliotokea Jana huyo Highlands Estates Mbarali Mkoani Mbeya

5. Usiwe mchangiaji sana katika Kundi lenu la WhatsApp Kazini hasa Mada za Mechi ya Jana zikiletwa Kiuchokozi

6. Zidisha Unyenyekevu wa Kinafiki Kwake Boss wako mwana Yanga SC

7. Usije ukathubutu kuwa na Kiherehere sijui cha kumpa Ofa ya Kinywaji au Chakula

Fanyeni mzaha mfukuzwe Kazi.
 
Back
Top Bottom