Waziri wa ulinzi na JKT amkabidhi gari moja jenerali Mstaafu Chelestino Msola

IMG-20240501-WA0004.jpg
 
Wewe unapendekeza askari wapewe magari. Waalimu je? Madaktari na manesi je? Watumishi wengine serikali za mitaa na serikali kuu je? Huoni kuwa huu ni ubaguzi?
Kwani uzi huu unahusu walim?, madactari na watumishi wengine ? walim ndo vinara wa kushiriki iba kura, na majuzi kati wakuu wa shule walichanga pesa ya kumchukulia mtu mmoja hivi ya Urais bora watumishi wengine walimu Mungu amewapa laana ya milele
 
Back
Top Bottom