Waziri wa Maji Jumaa Aweso asema anapowatazama wake zake huwa anapata furaha ya kipekee!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,116
6,995
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amelieleza Bunge kuwa anapowatazama wake zake roho yake inapata furaha ya kipekee jambo linalosababisha kufanya kazi zake kwa kujituma na kujitoa.

Kauli hiyo ameitoa bungeni leo Ijumaa Mei 10, 2024 wakati akianza kujibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2024 / 25.

Aweso amesema: “Mimi nimeona nijipe wawili ndio maana unaniona ninakiwalaza kwa namna ya kipekee, nishukuru sana familia yangu, wake zangu wapendwa kabisa namuona pale mke wangu mpendwa Kauthar Francis Tarimo lakini pia Zainab Abdallah Issa.”

“Mimi Mheshimiwa Spika (Dk Tulia Ackson) nikiwaona hawa roho yangu baridiii," amesema Aweso.

IMG-20240510-WA0089.jpg

(Picha, habari na Edwin Mjwahuzi)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
 
Wote wamenuna
 
Aache umalaya kwa kuwa na wanawake wengi, abaki na mmoja.
 
Huwa namuona kama Janja Janja,..maneno mengiii ilihali Miradi mingi bado haijaleta TiJA kwa jamii
A
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Back
Top Bottom