Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,470
8,320
Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro.

Hayo yamesemwa leo Jumatano, Aprili 3, 2024 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akisoma mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi ya Bunge kwa mwaka 2024/2025.

MWANANCHI
 
Dar moro ni km ngapi? KWA njia ya reli. Ili tupate wastani
 
Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro.

Hayo yamesemwa leo Jumatano, Aprili 3, 2024 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akisoma mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi ya Bunge kwa mwaka 2024/202
5.

MWANANCHI
Uuuwiiiii!
 
Sidhani kama PM ameeleweka ktk hili. Siamini kama hii 10tr ya kipande cha Dar -Moro pekee.

Vv
 
Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro.

Hayo yamesemwa leo Jumatano, Aprili 3, 2024 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akisoma mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi ya Bunge kwa mwaka 2024/202
5.

MWANANCHI
Huyu naye kama huwaga haelewi vitu! Kwani gharama ya reli nzima ni trillion Mia ngapi? Aache Undundu!
 
Tukihoji sana hizo gharama tutajulishwa kuwa aliteleza ulimi... Tukikaa kimya watakaa kimya na kupiga cha juu
 
Hahahaha dah,, ila serikalini pesa ipo, alafu mnaambiwa mjiajiri😂,,

Maji shida
Umeme shida
Barabara shida

Angalau kidogo sehem za town,, lakini kule village KIVUMBI😓
 
Hizo ni jumla ya fedha zilizotolewa kwa vipande vyote vilivyo katika % tofauti ya utimilifu na si kwa kipande kimoja cha dar-moro
 
Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro.

Hayo yamesemwa leo Jumatano, Aprili 3, 2024 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akisoma mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi ya Bunge kwa mwaka 2024/2025.

MWANANCHI
Hii nchi ina laana ya asili
 
gha

gharama za jumla ndio trilioni 10.69 ila ya moro ni 3. something..!
 
Back
Top Bottom