Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
520
1,605
Wasalaaaaaam........

Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa.

Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila akikupigia tu yeye hakupati hewani.

Na Kuna namna ya kuzitoa hizo codes yaani unaamua saizi niweke alafu muda wowote ukiamua unazitoa.

Nimewahi sikai hii kitu ila sijawahi kuprove. Najua humu kuna wataalam wanawezaelewa hii ishu......
 
*21*0754# hii inakupa namba unayopiga haipo ila sms zinafika na hakuna atakayekupata kuondoa ni #21#
 
Hapo unaanza na hio *21*Namba yako ya simu# , Kwa mfano kama unataka usipatikane hewani let say una namba ya Tigo ambayo ipo offline una forward calls zote kwenda namba hio kwa kuingiza namba hapo , Mtu akipiga utakuwa haupo hewani ila akituma meseji zinafika au kama upo bize sana na unataka mtu kukusaidia kupokea simu zako unamfowadia calls zako zote kwenda namba ya unaetaka akusaidie .
 
Mimi naweka namba 0745 ili aambiwe namba haipo
 
Hapo unaanza na hio *21*Namba yako ya simu# , Kwa mfano kama unataka usipatikane hewani let say una namba ya Tigo ambayo ipo offline una forward calls zote kwenda namba hio kwa kuingiza namba hapo , Mtu akipiga utakuwa haupo hewani ila akituma meseji zinafika au kama upo bize sana na unataka mtu kukusaidia kupokea simu zako unamfowadia calls zako zote kwenda namba ya unaetaka akusaidie .
Kuna ile mtu hakupati hewani ila wewe unampata na text mnachati vzuri. Tofauti yake ni wewe unapata taarifa ya mesej muda huo huo aliokutafuta bila mafanikio kuwa namba flani ilikutafuta bila mafanikio.

Kuna mtu namdai kaniwekea hiyo yani kila nikimpigia mimi nambiwa namba haipatikani halafu muda huo huo anapiga yeye ila mesej tunachat fresh tu. Ndo nataka nijue hiyo.
 
Mkuu Saiz unaset simu yako Tu akuna tena shida ya *### sjui madudu gani Simu hiz za sasa Mambo bul bul we nenda SEHEMU ya call hapo ata uki mblock mtu unafunga na namba mpya akupati akitumia namba ngeni akupati
Pia Una hamua Nani akupate Kwa kuwaweka VIP contact

Lakini akikutafuta we utaona juu ya kioo uki scrl down utaona flani kakucheki au kuna namba mpya ime kucheki.
Labda kama simu yako isiwe na huu uwezo ila matoleo ya sasa mengi yapo ivyo.
Screenshot_2024-04-13-22-15-44-06.jpg
 
View attachment 2962645
Sasa hii feature ukiblock no kule anayekupigia ataambiwa uko busy kila mara atajua ushampiga tofali... Hizo codes unazozibeza ndiyo zinafanya kazi kila angle, mfano mimi sitaki mtu ajue nimemblock ila akini pigia simu aambiwe sipo hewani (ila ki uhalisia nakua nipo hewani ila sitaki usumbufu tu) huwa naweka code hizi 21*07541251252# ila meseji zinanifikia, so akiniuliza kwanini nakupigia naambiwa hupatikani ila meseji zinafika? Hili swali nafikiri unaweza kujibu kirahisi tu na mtu akaelewa ila ukweli unakua unaujua ww mwenyewe...

Kimbembe eti uwashe hii feature umblock mtu kila akipiga aambiwe uko busy aaah hapo lazima ajue tu hata mtoto wa darasa la 7 alieanza kumiliki simu juzi atajua umemblock!
 
Back
Top Bottom