econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,413
- 22,622
Kwa ule moyo wa jicho kwa jicho, Hamas nia yso ilikuwa kuua tu ili dunia wajue wapo na suala la Palestina lisisahsuliwe na dunia.
Hamas ni wangovi tu, wale ndio wamesababisha Palestine imegawanyika. Hata Leo Palestine wakipewa nchi yao, watachapana Kama walivyofanya Jordan na Lebanon.