Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.
Ulitakiwa ujifunze kwanza ili umjue aliyeandika cha kwako. Kutaka kujua ya kule kwingine yatakuvuruga tu, na hivi ulivyo na kichwa cha panzi.
Unaonekana ndiyo kwanza umeanza kusoma Madrasa, basi unajiona umemaliza kila kitu. Bahati mbaya zaidi haujifunzi kuhusu imani yako bali unapotoshwa kuhusu ya wengine.
 
1. Biblia iliandikwa na waandishi mbalimbali katika muda wa karibu miaka 1500 hadi 1600 na kwa lugha mbalimbali za asili za waandishi hao. Kwa mfano, Agano la Kale liliandikwa kwa Kiebrania na Kidani, na Agano Jipya liliandikwa kwa Kigiriki. Tafsiri ya Biblia kwa lugha ya Kiswahili ilianza mwaka 1880 na imekuwa ikiendelea hadi leo, ikiwa na toleo nyingi za Kiswahili kama vile Union, Neno, Tafsiri ya Ulimwengu wa Leo na nyingine nyingi.

Biblia ni mkusanyo wa vitabu vitakatifu ambavyo vina historia na mafundisho ya dini ya Ukristo. Inajumuisha vitabu 66 vya Agano la Kale na Jipya, ambavyo vinasimulia hadithi za uumbaji, historia ya Israeli, maisha ya Yesu Kristo, mafundisho yake, na kazi za mitume wake.

Biblia haikuandikwa na nabii mmoja, badala yake ilikusanya maandishi kutoka kwa waandishi mbalimbali wa kipindi cha miaka 1500 hadi 1600. Waandishi hao walikuwa ni pamoja na manabii, wataalamu wa dini, wafalme, na watu wa kawaida. Kwa hivyo, hakuna nabii mmoja aliyepokea Biblia yote au kuletewa Biblia yote.

Injili ni kitabu kinachoelezea maisha na mafundisho ya Yesu Kristo, na kinajulikana pia kama "Evangelia" kwa lugha ya Kigiriki. Injili nne za Agano Jipya zinaitwa Mathayo, Marko, Luka, na Yohana. Yesu alitumwa kwa Wayahudi na hakutumwa kwa mataifa, lakini baada ya ufufuo wake, mitume wake walianza kusambaza ujumbe huo kwa mataifa yote duniani.
Hizi nondo ulizo weka na muona mke mwema huyu hapa.
 
Maswali yako yanachekesha Sana ..maana ukristo haupo kimwili zaidi Sana unahitajika nguvu ya ziada kuweza kuelewa. Wewe endelea kwenda madrassa tu mambo mengine huyawezi.
 
Hapa utakutana Na MAJIBU badala ya MAJAWABU.Na kwa kweli maswali yako hakuna anayejua majawabu yake hata ukaulize kule Vatican au Antiokia.
 
Ongeza na hili.

Kama bibilia imetoka kwa bwana kwa nini kila siku ina matoleo mapya mara agano la kale mara agano jipya ni nani huwa anafanya bibilia kama vitabu vya TIE kila mwaka edition mpya.
 
Jibu swali,usijifiche kwenye swali
Kanuni kubwa ya Imani za kigeni( wazungu na waarabu) kutohoji kwasababu Kuna vitu vingi Sana vya kufikirisha. Ndo maama watu walio soma Sana na kuelmika ni wagumu kufuatilia hizo Imani wengi wanashirki kama sehemu ya utamaduni au socialization
 
Tofautisha msomi wa elimu ya dunia anayeambiwa binadamu wa kwanza alikuwa nyani,hata asome vipi hawezi kuelimika kuhusu mambo ya Mwenyezi Mungu,na akifa elimu yake itaishia kaburini

Lakini msomi wa Dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu akielimika,anaelimika kidunia na kiakhera na akifa atakwenda na elimu yake mbele ya Mwenyezi Mungu
 
Mtume Mohamed (SWA) alimuoa binti wa miaka 9 vp wewe umemuoa binti wa miaka hiyo...? Na kama hujamuoa unasubiri nini
 
Tofautisha kati ya kumuowa na kumuingilia pili labda nikuulize na wewe

Ukiletewa binti wa miaka tisa na baba yake ambaye ni bikira,ukaambiwa umtunze umsomeshe halafu akishafikia umri wa kumuingili, umuingilie,na ukiletewa binti wa miaka 28,ambaye siyo bikira na huko nyuma kishachezewa na wanaume chungu nzima,utamchagua yupi?
 
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.
Biblia imeandikwa na wasomi mbali mbali ambao walikusanya vitabu ambavyo vilikuwa vya kale ambavyo nakara hizo zilihifaziwa na zilikuwa zimeandikwa kwa maelekezo ya roho mtakatifu( roho ya Mungu) kwa mfano yesu akaombwa asome chuo cha nabii isaya,apo awali hivyo vitabu vilikuwa tofauti tofauti ,mfano mwingine Mungu anawaambia waesrael maneno ya torati yasitoke vinywani mwenu kulikuwa na maelekezo yalikuwa kwenye vitabu tofauti tofauti,Zaburi,hesabu walawi vilikuwa separate

2.biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya Mungu vikivyokusanywa kwa pamoja kuleta urahisi na ufanisi wa usomaji na uelewa mfano kuna vitabu 66 kwenye biblia vikivyokusanywa nafikil niulize ingekuwaje vingekuwa tofauti tofauti ukitaka kusoma

3.kama nilivyoeleza kwenye swali la pili kimsingi biblia ndani yake ndimo kulimokuwa na vitabu vingi mfano kuna torati musa alipokea,kuna Zaburi daudi alipokea,kuna injiri yesu alileta nk

4.injili sio kitabu ni vitabu ambavyo vipo vinne ambavyo ndiyo vimebeba mission ya yesu,na vitabu hivyo ni mathayo,luka,Marko,Yohana injili haikuwa kwa wayahudi tu bali ilikuja kwa watu wote wa duniani ikiwemo na wewe uliyetoa hoja bila kujali dini yako na usisahau yesu alikuja kabla ya huyo unayemuamini ambaye amekuja baada ya miaka 553AD baada ya yesu kuwa ameondoka na akasema hakuna mwingine zaidi yake

5.kusujudu maana yake ni kunyenyekea, kujikabidhi,kuheshimu nk hata wakristo leo wanafanya hivyo labda ujawaona na najua wewe mtoa post unadhani wakristo hawainami au hawapigi magoti na kuinama tunafanya hivyo kwa Mungu wetu

6.ni kweli yesu hakuoa ,lkn yesu hakutupa maelekezo ya kuto kuoa isipo kuwa ametupa maelekezo mengine tu na ndio maana tunao

7.ni kweli yesu akuvaa msalaba bali alibeba msalama na alitundikwa kwenye msalaba ,lakini kwa habari ya kuvaa msalaba ni imani ya mtu katika msalaba kwa kuwa kupitia msalaba ni ishara kuwa ukombozi umekuja duniani ,mfano upande wako mtoa post mnavaa tasbii ni imani yenu NB hatuabudu msalaba na hatuombi kwa msalaba

8.kwenye biblia hakuna mtume Mohamed na la kuongeza hakuna mahali alipotajwa isipokuwa kwenye kitabu Chenu torati ipo,Zaburi ipo,na injiri ipo sasa kama injiri ya kwenye biblia ipo kwenye kitabu Chenu wala usiingeuliza maswali hayo lakini inaonekana injili iliowekwa kwenu ni ya ujanja ujanja ,nikuongeze kitabu Chenu kina Mtambua Mariam kama mama mwenye daraja la juu sana lkn pia inamtambua issa vizuri ingawa huyo anayedaiwa issa ni tofauti na yesu kikubwa ni kuwa kitabu chetu cha mwisho ni ufunuo wa Yohana na sio vinginevyo
 
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.
9. Yesu alivaa kanzu mbona Mimi
ninavaa suruali?
10. Yesu alikuwa na Afro mbona Mimi
nina kipilipili?
11. Yesu alikuwa anavaa sandals
mbona mimi navaa Raba?
 
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.
Tofauti ya Biblia Takatifu na Quran ni kuwa Biblia Takatifu inabeba ujumbe uliopewa watu mbalimbali na Mwenyezi Mungu kwa njia mbalimbali, katika maeneo tofauti kabisa lakini ujumbe ukawa ni ule ule. Watu hawa waliopewa ujumbe huu walishuhudiwa na jamii yote kwani Mwenyezi Mungu alijidhihirisha mbele yao wote kwa namna tofauti kama ushuhuda kuwa watu hawa amewatuma Yeye.

Quran kwa upande wake ni kitabu kilichosheheni mawazo ya mtu mmoja aitwaye mtume Mohamed. Mtu huyu alidai kuongea na Allah KWA NJIA YA SIRI pasipo ushuhuda wa mtu mwingine yeyote. Hakuna hata wakati mmoja ambapo swahiba ama watu wengine walimsikia Allah. Mjumbe wa Allah malika Jibril hakuwahi kutajwa hata mara moja kwenye Quran kwa jina, kumbe ile dhana kuwa malaika Jibril ndiye aliyekuwa akimpa ujumbe mtume Muhamed ni utunzi tu. Haina ushahidi kwenye Quran.

Tofauti na Biblia Takatifu, Quran ni ujumbe ambao hauna uhai, hauthibitiki kwa njia za kawaida za Mungu (miujiza, maono, mafunuo kwa wengine nk.). Katika Biblia Takatifu, toka kitabu cha Mwanzo mpaka Ufunuo wa Yohana vimesheheni matendo makuu ya Mungu kama njia ya kujidhihirisha kwake kwa wanadamu. Quran kwa upande wake ni masimulizi ya mtume Muhamed, maneno matupu yasiyopimika kwa mizani ya imani.

Miujiza mi sehemu muhimu ya matendo makuu ya Mungu kwani haiwezekani kwa njia za kibinadamu. Huu nibuthibitisha wa wazi kuwa Mwenyezi Mungu amehusika. Kukosekana kwa matendo makuu ya Mungu kwenye Quran ni pigo kubwa na ndio maana msingi wake wa imani ukajengwa katika shurti, watu washurutishwe kuwa waislamu au wauawe. Hapa ndipo penye nguvu ya ya ukristo, kwamba Mungu hujidhihirisha mwenyewe ili kulisimamisha jina lake.

Tafiti mbalimbali zimefanyika na zinaendelea kufanyika ili kuthibitisha ukweli wa Biblia Takatifu. Gunduzi nyingi zimefanywa, maeneo mengi hata sasa yamewekwa kama kumbukumbu yenye kuthibitisha yaliyoandikwa hata kabla ya kuzaliwa Kristo. Katika uislamu, licha ya kuwa ni imani changa mno iliyokuja miaka 600 baadaye, ๐‡๐€๐Š๐”๐๐€ tafiti yoyote ๐ˆ๐‹๐ˆ๐˜๐Ž๐™๐€๐€ ๐Œ๐€๐“๐”๐๐ƒ๐€. Hakuna eneo hata moja lililothibitisha uwepo wa mtume Muhamed.

Nguvu ya ukristo ipo katik Roho kwani Mungu ni Roho. Tazama hii leo, wahuni wengi na waganga na wachawi wengi wamejipenyeza katika imani lakini haya yote yalitabiriwa. Hakuna mtu yeyote apaswaye kuwaanfamiza watu hawa kwa upanga kwani ๐ฏ๐ข๐ญ๐š ๐ง๐ข ๐ฏ๐ฒ๐š ๐๐ฐ๐š๐ง๐š. Mwenyezi Mungu anajipigania. Lakini nguvu ya uislamu ipo katika idadi ya waumini, kwani msingi mkuu wa imani ni ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ซ๐ญ๐ข. Ni wajibu wa muislamu kumshurutisha asiye muislamu kuukubali uislamu ama afe. Ni mfumo wa imani ambao hauwezi kamwe kuwa pamoja na imani tofauti (tazama nchi za kiislamu). Nchi zenye misingi ya kikristo huwapokea waislamu na kuishi nao kama ndugu, lakini nchi zenye misingi ya kiislamu hazikubali kamwe kuendana na imani tofauti.

Ukristo hauruhusu uongo, ๐ง๐ข ๐๐ก๐š๐ฆ๐›๐ข. Katika uislamu mtu anaweza kudanganya katika mazingira fulani. Ndio maana ni hatari sana kuamini wayaseayo waislamu kwani baadaye hubadilika. Hili liko wazi kabisa kwenye quran. Wakristo hawajapewa kibali cha ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐จ kwenye mazingira yoyote.

๐€๐ฐ๐ž๐ณ๐š๐ฒ๐ž ๐ค๐ฎ๐ค๐š๐ง๐ฎ๐ฌ๐ก๐š ๐ก๐š๐ฒ๐š ๐š๐ฃ๐ž ๐ง๐š ๐ก๐จ๐ฃ๐š ๐ค๐ฎ๐ง๐ญ๐ฎ.

Niendelee?
 
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.
Iwe imeruhusiwa kuoa. Lkn hiyo ndoa inafuata muongozo upi na ktk Biblia hakuna, au hii Dini kuna mambo hayapo kabisa?, au Ni Dini iliotungwa na Binadam?
Kama Biblia ni vitab vilivyoandikwa na watu sasa kwa nini tusifuate kitabu kimoja tu cha Injili cha Yesu!
 
Yesu hajaandika kitabu ata kimoja. Mohamed hakuelewa hilo pia.
 
Back
Top Bottom