Watanzania tulioko Kampala Uganda tunakutana wapi Jumamosi tarehe 20 April, 2024 kuitizama Derby ambayo nimehakikishiwa kuna Watu hawatoamini kabisa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,734
109,316
Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda tafadhali nipeni tu ramani la Chimbo ambalo wengi wenu mtakuwepo Siku hiyo ili nami GENTAMYCINE nijiunge nanyi kwani nilikuwa na wasiwasi, lakini Taarifa za Ndani kabisa za Kimaandalizi zimeniambia kuwa kuna Watu hawatoamini kabisa na huenda kuanzia Jumamosi hiyo nao wakaanza Kuvurugana na hata Kushikana Uchawi.

Nitawashukuruni.

ANGALIZO

Kama unajua HUMPENDI GENTAMYCINE na Mada ( Threads ) zake hapa JamiiForums HUZIPENDI tafadhali nakushauri KIUSTAARABU tu acha KUZIFUNGUA, KUZISOMA na hata KUZICHANGIA badala yake nenda Kawasome tu wale MEMBERS wako UNAOWAKUBALI zaidi hapa na Mimi niachie wale MEMBERS wangu WANAONIELEWA KUTWA na hawana USWAHILI, UPUUZI, USHAMBA na UPUMBAVU wa KUTUKUKA kama ulionao.

Ukikaidi hili ANGALIZO langu usije KUNILAUMU kwa MAJIBU YANGU UMIZA ambayo NITAKUPOROMOSHEA pale tu UTAKAPOSHOBOKA nami kwa KUWASHWAWASHWA Kwako nami kama MNYAMA JIKE anayetaka KUPANDWA ( KUINGILIWA ) na MNYAMA DUME a.k.a GENTAMYCINE.

Nimemaliza.
 
Pesa za hongo alizotowa Mo Dewji Aziz Ki amekataa, kipigo kipo palepale.

Mo Dewji anang'olewa rasmi baada ya Derby.

Huwezi kushinda derby timu ikiwa vipande vipande kama ilivyo sasa unajirisha upepo.

Silaha peke yake iliyokuwa inategemewa ni kuwahonga pesa nyingi wachezaji muhimu wa Yanga, Aziz Ki amekataa na deal limebuma.

Try again anataka kumleta Bakhresa kwahiyo ili deal ikamilike ni lazima mfungwa jumamosi ili Mo Dewji ang'oke vizuri.
 
Utopolo hakuna wachezaji muhimu Sema kuna wabeba majini muhumu,

Hakuna tajiri Mjinga wa kutoa pesa kumuhonga mchezaji kama Aziz Ki, ni Mchezaji Wa Kawaida anakabika na anazuilika, Simba na Wachezaji wake wameshacheza na wachezaji wenye profile kubwa mara 5 zaidi ya wachezaji wa utopolo,

Utopolo Mnajipa ukubwa na Uwezo ambao hamna, Simba Sc ilishapita huko kwenye kununu mechi miaka mingi iliyopita,

Nachowashauli boresheni mbinu zenu za kununua Marefa na Ma line men

Tutawashangaza, jiandaeni kisaikorojia kusijekukawa na vifo vingi vya mashabiki wa utopolo
 
Changamoto ya afya ya akili ni kubwa
 
Simba wagongwe ili uongozi ung'oke uingie uongozi mpya na hatimaye timu ijipange vizuri kwaajili ya misimu ijayo.
 
Kuna yule anayesema eti ww Genta vichochoro vyako ni Bunda na mabasi yako ni Nyehunge,J4 na Igembe Nsabo na kidoogo Super Najmunisa
USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA ENDELEENI KUKARIRI NA KUDHANI KUWA TUNAFANANA NA KUCHUKULIANA POWA OKAY?
 
We jamaa ulivo mkuda watanzania tulioko Uganda hatuwezi kukualika kokote we angalia mechi kwenye simu tu hatuwezi kukuelekeza viwanja. Nani anataka mgeni anae kuja kuwa mjuaji kuliko wenyeji? Au watafute watanzania walioko kiwanda cha Azam pale Bweyogerere watakupa kampani
 
Back
Top Bottom