Newforce
Senior Member
- May 13, 2024
- 106
- 57
Upate Ukweli uipeleke wapi?Nataka kupata ukweli vizuri
Upate Ukweli uipeleke wapi?Nataka kupata ukweli vizuri
Basi tuache hii discusion chiefUpate Ukweli uipeleke wapi?
Yaan bado KIDOGO niunganishe Afisa MTENDAJI KATA kumbe MKUUAfisa Mtendaji Mkuu wa NMB
Wengi wanatoka Private kwenda Serikalini washindwa kuelewa kuwa huku hatuhitaji kutumia akili yoyote wao wanakuja na smartness ndio Maana wanafailBasi tuache hii discusion chief
Kwani NMB SIO bank ya Serikali au Mi ndio SIJUI? National Microfinance Bank maana yake nini?Huko akiingia anaenda kuwa chawa tu kusifia hata vya uongo uongo
Sio ila Serikali Ina shareKwani NMB SIO bank ya Serikali au Mi ndio SIJUI?
Kwahiyo sisi wa private sio sawa kwenda Serikalini?Wengi wanatoka Private kwenda Serikalini washindwa kuelewa kuwa huku hatuhitaji kutumia akili yoyote wao wanakuja na smartness ndio Maana wanafail
Karibuni ila huku njooni na akili kidogo sana mkizingua tunawazinguaKwahiyo sisi wa private sio sawa kwenda Serikalini?
National Microfinance Bank maana yake nini? Au waliiuza enzi za Lupaso? Na Ile NBC National Bank of Commerce nayo je ni private sio public?Sio ila Serikali Ina share
Akili ndogo ndio ipi hiyo?Karibuni ila huku njooni na akili kidogo sana mkizingua tunawazingua
Iliuzwa kwa Rabobank Serikali Ina kama 21% kama sijakoseaNational Microfinance Bank maana yake nini? Au waliiuza enzi za Lupaso?
Sio 19%?Iliuzwa kwa Rabobank Serikali Ina kama 21% kama sijakosea
Serikali kweli Sirikali SIO mchezoIliuzwa kwa Rabobank Serikali Ina kama 21% kama sijakosea
Wewe njoo mwenyewe akili utazikita hukuAkili ndogo ndio ipi hiyo?
Itakua 20% basi km sijakoseaSio 19%?
Nimecheka kwa sauti aiseee🤣🤣🤣Wewe njoo mwenyewe akili utazikita huku
Yes nadhani ni hivyoItakua 20% basi km sijakosea
Unacheka nini?Nimecheka kwa sauti aiseee🤣🤣🤣
Hapo tupo pamoja kabisa mkuuYes nadhani ni hivyo