Wanasimba Acheni Kulazimisha furaha!

Bwana Bima

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
418
888
Imekua kawaida sasa kuona mashabiki wa simba wakifanyiwa mizaha na viongozi wao kwa kuendesha propaganda ambazo ni wazi nyuma yake kuna viongozi wao. Nasema hivi kwa sababu kwanini wanaozusha hizi propaganda ni vyomba vya habari especially online tvs na baadhi ya wachambuzi wa mpira?
Niwaamshe akili kidogo, ishu ya micson imefikia wapi mpka sasa, vipi kuhusu Manzoki? Swala la wanasimba kumlalamikia Mangungu limefikia wapi? Naamini sikubzijazo tunzeni post yangu mtaona mengi ili jitihada zinafanyikaa kuwafurahisha sasa against mambo ya yanga na kuacha mambo ya msingi ya Maendeleo ya timu yenu. Amkeni!!!

Yanga tushamaliza usajili. Propaganda ya kusema tumefungiwa ndo yale yale. Swali dogo tu kibabage kasajiliwa while tukiwa tumefungiwa? Na pili tumechelewa kutanganza wachezaji wetu wapya coz ali kamwe ashasema tutatumia platform ya kuwatangaza kuuza jezi. Sasa nyie endeleeni na propaganda zenu sisi tuasonga tu. La mwisho hojini basi kuhusu jezi. Kila siku kina Jemedar ndi wanakuja kuwajibia hoja zinazoibuka mnafurah na kutulia🤣🤣🤣🤣 manara hakukosea kuwaita makolo n la hata rage kusema nyie ni mambumbu. Ingekha ni yanga hizi drama zinatokea mngekua mshaona moto wake
 
Hamlalamiki au jikoni hakueleweki? Mpaka injinia anatafuna tafuna vimaneno mjiandae sasa gon be a bumpy ride
Nimejibu hapo kwamba kama ulisikia interview ya mara ya mwisho wasafai fm walisema mwaka huu kitengo cha habari vs masoko wanataka watumie mwanya wa kutangaza wachezaji ili kuuza jezi na walisema wanataka wafanya kama ulaya wanavyofanya. Nikupe mfano. Lets saya mayele kasinya lakini zikatolewa jezi zake special zenye namba yake na ikapigwa mnada unafikri watu hawatanunua? Io strategy inaweza kufanikisha kulipa mshahara wa miezi kadhaa ya mayele na itakua deni kwake . Akili Akili Akili ndg yangu. Simba nayo inakuja huko huko. Nyie mnajenga timu sisi tunaboresha timu
 
Kuna popoma linakaza mishipa kila nyuzi lin halijui kitu, na wakati huh ndo furaha yao itaisha mda simrefu watawalaumu viongoz hawakusajili vzr, kwani vinamuuda.
 
MPIRA wetu una madudu mengi mno.
Tukiandika hapa HATUWEZI kumaliza.

1. Simba Ina TATIZO KUBWA sana kwenye No 6.
Hadi saizi nafasi zimejaa hakuna waliemsajili UJINGA mtupu

Hadi sasa Wamesajili JUMLA ya mawinga 11.

2. Eneo la beki wa kati
MSIMU uliopita lilikuwa na Inonga, onyango, Ottara Nyoni na KENEDY JUMA.
Eo hii wamebakiwa na wachezaji watatu tu3 Mabeki, hata wakijigawa mazoezini hawatoshi.

UONGOZI WA SIMBA AMKENI ACHENI UPUMBAVU.
 
Ewenh haya ndo mambo ya kusema unasajili mawinga kibao wa nn. Ttzo la simba karibu misimh miwili ni kiungo hasa. Hapo ndo wangejaza watu lakini pia na mbadala wa chama ambaye labda ana kitu cha ziada mfano mbio ukilinganisha na chama ila sasa wanaosajiliwa mmh labda ndo falsafa ya Robertinho. Pia ngoja tuone Ngoma atakachoinyesha usishangae mzamiru bado akawa anamtia bench
 
Nimejibu hapo kwamba kama ulisikia interview ya mara ya mwisho wasafai fm walisema mwaka huu kitengo cha habari vs masoko wanataka watumie mwanya wa kutangaza wachezaji ili kuuza jezi na walisema wanataka wafanya kama ulaya wanavyofanya. Nikupe mfano. Lets saya mayele kasinya lakini zikatolewa jezi zake special zenye namba yake na ikapigwa mnada unafikri watu hawatanunua? Io strategy inaweza kufanikisha kulipa mshahara wa miezi kadhaa ya mayele na itakua deni kwake . Akili Akili Akili ndg yangu. Simba nayo inakuja huko huko. Nyie mnajenga timu sisi tunaboresha timu
Huko mnakoenda nyie sisi tulishatoka kitambo
 
Back
Top Bottom