Wananchi wa Ukraine wajazana barabarani kuzuia misafara ya Urusi, waamua kujitoa mhanga kutetea bendera yao

Kuanzia jana jioni, ulizia namna wanavyoshughulikiwa na majeshi ya Russia. ....! Pia ulizia raia wa Kiev wanaichukuliaje serikali ya mji huo na viongozi wa nchi hiyo. Wewe uliza tu utapata majibu!
Tume ulizia sana kila siku mna tupanga tu failure
1096548533.jpg
 
Kuanzia jana jioni, ulizia namna wanavyoshughulikiwa na majeshi ya Russia. ....! Pia ulizia raia wa Kiev wanaichukuliaje serikali ya mji huo na viongozi wa nchi hiyo. Wewe uliza tu utapata majibu!
Putin alisema anajianda kwenye nyuklia ukasema media zimemtafsri vibaya,hakumaanisha hivyo. Leo waziri wake wa mambo ya nje karudia kauli ile ile.

URUSI NI SIMBA UDONGO.

Russia’s Foreign Minister, Sergei Lavrov, has warned that a third world war “will be nuclear and destructive”.

This comes as the fallout of his country’s invasion of Ukraine intensifies.

In a thinly veiled threat directed at NATO not to get involved, Lavrov stated that any world war in future would be fought with nuclear weapons.

His remarks come just days after President Vladimir Putin warned that any nation sending troops to Ukraine would face severe consequences.

Lavrov however revealed that they were ready to enter the second round of negotiations with Ukraine. But he accused Kyiv of deliberately delaying the process at the request of the United States of America.

“We are ready for the second round of negotiations but the Ukrainian side is delaying [the process] at the behest of the Americans,” he said according to the Russian news agency, TASS.

Lavrov also told a Geneva conference that “it is unacceptable for us that US nuclear weapons still remain in a number of European states in contradiction to the basic points of the NPT.”
 
Sawa.
 
Kadiri Urusi inashindwa kuteka Kiev ndio wananchi wanapata ujasiri na kuwa sugu.

Putin ana shida maana itabidi aue hadi wananchi kwenye nchi yao...

We mkenya huko kwenu huna kazi ya kufanya?!
 
Kuanzia jana jioni, ulizia namna wanavyoshughulikiwa na majeshi ya Russia. ....! Pia ulizia raia wa Kiev wanaichukuliaje serikali ya mji huo na viongozi wa nchi hiyo. Wewe uliza tu utapata majibu!
Hivi mnatuchukuliaje? Yani mnatuona hatuna akili kabisa,hebu acheni story zenu za kitoto,huwezi kuleta update zenye mashiko bora ukae kimya.
 
Back
Top Bottom