dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,666
- 16,350
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,
Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano
Pili rasillimali za Tanganyika zitakuwa salama mikono mwake
Siyo kwa ubaya ila huyu bwana ana akili kubwa mno na maono anayo
Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa
Kwa Sasa safarini kueleke Singida Manyoni
0786757564
K