Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 185
na one more question
hivi hawa walinzi wa viongozi aka ma bodyguards wanalipwa kama kiasi gani???
kwa hapo bongo najua fika tutapewa jibu moja tu kuwa ni habari za usalama wa taifa je kwa nchi zingine mwajua figure hawa watu hulipwa?maana huko it seems they give all details za mambo hayo bila vificho
maana i was thinkin why iwe hard kuwa fanya hao watu wa betray kazi yao?as kama wakihongwa fedha mara kumi ya mshahara wao lets say wanalipwa laki moja wakipewa tu milioni kadhaa kweli wanashindwa danganyika?
USSS starting salary ni GS-10 with benefits so unaangalia kuanzia $70K-90K kwa mwaka. Baiskeli ni za walinzi wakati Bush akiendesha baiskeli yake