Walimu shule za Serikali wapaswa kurudi na kuhudhuria shuleni kuendelea na kazi

Moja ya majukumu ya walimu ni;
1.Kufundisha wanafunzi.
2.kuandaa azimio
3.kuita majina wanafunzi.
4.kusahihisha kazi za wanafunzi
5.kuandaa andalio la somo
6.kutunga & kusahihisha mitihani
7.kuwalea wanafunzi kimwili na kiroho.
8.kusimamia miradi mbalimbali shuleni
9.kutekeleza majukumu mengine atayopangiwa na mkuu wa shule au Afisa elimu

Sasa hayo majukumu wanayopaswa kuendelea nayo kukiwa hakuna wanafunzi ni yapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hill jambo nilibishana sana na mwalimu mmoja Jana.

Mimi nilimwambia kwamba, PM alitangaza kufungwa kwa shule na kisha vyuo vyote nchini na wanafunzi warudi majumbani kwao ili kupisha upepo huu wa Corona.

Lakini PM hakutangaza kwamba walimu na wakufunzi pia wametakiwa kuwa likizo kwa kipindi hiki ambacho wanafunzi watakua hawapo mashuleni/vyuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mwl was s/m ama s/s hata kama akienda kazini kuna nn cha kufanya....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya majukumu ya walimu ni;
1.Kufundisha wanafunzi.
2.kuandaa azimio
3.kuita majina wanafunzi.
4.kusahihisha kazi za wanafunzi
5.kuandaa andalio la somo
6.kutunga & kusahihisha mitihani
7.kuwalea wanafunzi kimwili na kiroho.
8.kusimamia miradi mbalimbali shuleni
9.kutekeleza majukumu mengine atayopangiwa na mkuu wa shule au Afisa elimu

Sasa hayo majukumu wanayopaswa kuendelea nayo kukiwa hakuna wanafunzi ni yapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma jukumu namba 8 na 9 kama ulivyo andika na kuhariri mwenyewe mwalimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi shule ni wanafunzi peke yao?
Hill jambo nilibishana sana na mwalimu mmoja Jana.

Mimi nilimwambia kwamba, PM alitangaza kufungwa kwa shule na kisha vyuo vyote nchini na wanafunzi warudi majumbani kwao ili kupisha upepo huu wa Corona.

Lakini PM hakutangaza kwamba walimu na wakufunzi pia wametakiwa kuwa likizo kwa kipindi hiki ambacho wanafunzi watakua hawapo mashuleni/vyuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi hizo ulizozitaja zote anauwezo kuzifanyia nyumbani kwake.. Nahisi hakuna ulazima kwenda, labda kwenda kupiga porojo tu na kuambukizana magonjwa
Kama wewe ni mwalimu majukumu huwa hayaishi, kama kuna lesson plan ulikua ujaandaa ndio muda wake sasa, nenda kaziandae, kama kuna lesson notes huna ndio ukazitengeneze, kuna daftari ulikusanya hazija sahihishwa ndo zikasaishwe, kama kuna taarifa za muhimu za kishule haziko sawa nenda kaziweke sawa!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana hii post
Waalimu ndio kada pekee inayoongozwa na hisia za mkuu wa shule au afisa elimu. Waalim wengi sio woote hawazijuia sheria na kanuni za utumishi. Kila linachotamkwa wengi wao ni ndio mzee. Waalim wengi wanaongozwa na matangazo na matamko kupitia watsap.
.
Waalim wa waliotokea TTC walikuwa wanavaa uniform, wanafagia, wanamwagilia maua, wanapimwa mimba na kukaguliwa usafi kama wanafunzi.

Hizi defensive mechanism zimeharibu taaluma ya ualimu hasa kwenye kujiamini na kusimamima proffesional standards za ualimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kibovu, Hellow mpendwa, kama sio mwalimu why umekasirika sana my dear! Why so much hate na kauli za udhalilishaji!

Anyways thanks a lot!!

najua unastress maaana sijaona point ya kuwa na mawazo machafu kiasi hicho! But all in all nakupendeni sana waalimu tufike kazini tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana hii post

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda chuo cha ualimu chochote cha serikali cha TTC uone yaani waalimu wana kuwa treated kama wanafunzi. Nimefanya utafiti usio rasmi nikagundua kuna haja ya kuwafundisha waalim waliopo mafunzoni kwa mapana yake somo la EDUCATIONAL MANAGEMENT na masomo yanayofanana na hayo. Nje ya masomo ya ualimu, waalimu wengi hasa waliopo serikali wengi wao hawajui vitu muhimu kuhusu utumishi wa umma kwa maana ya kanuni sheria na miongozo iliwekwa kwa mujibunwa sheria.

Wengi wa waalimu hufanya vitu kwa common sense huku wengi waki outlaw the rules and regulations.
Mfano kwenye kutoa adhabu waalim wengi ni weupe kabisa.
Kuhusu utawala. Maswala ya fedha hasa Captation grants ndo uozo mpaka basii.

Waalim ni wataaluma na hufanya kazi kwa weredi ila ni waalimu wachache wanasimamia profesional standards za taaluma yao.
Wengi waoga. Unakuta mwalimu anaogopa kumuuliza swali katibubwa CWT wa wilaya kisa eti anaogopa kufukuzwa kazi au utumishi.

Maafisa elimu waki amua waalim wafundishe hadi saa 4 usiku au hadi jumapili na jumamosi watakao reject ni wachache wengi watasema mara ooo mm ni mtumishi nikigoma nafukuzwa kazi.

Waalim wanafundisha masaa ya ziada bila hata kulipwa mia na wameridhika tena wanafundisha kama vile wanalipwa. Ukiwauliza wanakwambia mm mtumishi natii amri.
Ukipiga story na walimu utasadiki nayo post hapa ni yamkini.
 
Waalimu ndio kada pekee inayoongozwa na hisia za mkuu wa shule au afisa elimu. Waalim wengi sio woote hawazijuia sheria na kanuni za utumishi. Kila linachotamkwa wengi wao ni ndio mzee. Waalim wengi wanaongozwa na matangazo na matamko kupitia watsap.
😂😂😂😂😂😂.
Waalim wa waliotokea TTC walikuwa wanavaa uniform, wanafagia, wanamwagilia maua, wanapimwa mimba na kukaguliwa usafi kama wanafunzi.

Hizi defensive mechanism zimeharibu taaluma ya ualimu hasa kwenye kujiamini na kusimamima proffesional standards za ualimu
Wanataka mwalimu akawe role model wa mwanafunzi 😅
 
Asante sana mwalimu!! Ni kweli nipo idara ya elimu, na by professional ni mwalimu nlie hudumu kwa miaka kadhaa, ngazi ya sekondari na baadae kuwa msimamizi wa wa waalimu wenzangu!!! Kwa hiyo kazi ya ualimu ninaifahamu vizuri tu na tunapotoa maelekezo kama hivi tunajua hatujakosea,

so waalimu tupendane turudi tukafanye kazi ya wananchi! Asante sana mwalimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu nakusahihisha ulipaswa useme 'by profession'
Ila either way unaonekana lazima una unoko kwa waalimu wenzako. Hiyo kada yenu mna kama nuksi.
 
Hivi wanafunzi wanapofunga mashule, walimu nao huenda likizo? mbona hapa linaonekana kama jambo geni....nilidhani mwalimu kama mtumishi mwingine yoyote ataenda likizo pale muda wake wa kwenda likizo utakapofika siyo kudandia likizo za wanafunzi
 
Kama kazi gani, zaidi ya kuanda somo na kufundisha, acha uongo wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uongo hapa kijana, mmeagizwa mkachape kazi.
IMG-20190501-WA0034.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom