wakuu nipokeeni!

Paka Jimmy naona umemkaribisha vizuri sana. asije akavunja kanuni kwa madai kuwa hakufahamu.
karibu father xmas
 
Karibu mkuu, uzoefu wangu unaonyesha mgeni anyeingia siku hiyo hiyo nakuweza kuweka avatar ni mzoefu tayari wa hili jamvi
 
karibu sana,welcome.
yaani feel at home!
cheusimangala mrembo wa afrika nimekukubali mama!
father.xmasa amejisikia kukupatia zawadi,sema chochote unachotaka hata kama hakipo kitatengenezwa kwa ajili yako cheusimangala.cheusi
afu mbona hujibu mese-ji?lol
nashukuru kwa welcome,tayari naanza kufeel at home mamaa!
 
Back
Top Bottom