Wakuu naomba mnieleweshe concept ya Mungu katika ukristo

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Jun 30, 2015
2,466
2,623
Habari

1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu

2. Wengine wanasema Mungu mmoja

3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu

Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba

Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana juu ya concept ya Mungu

Shukrani
 
Binadamu kagawanyika makundi 3 yanayounda mtu mmoja kamili! Mwili ni sehemu ya mtu inayoweza kujigawa! Roho ni sehemu ya mtu inayoweza kujigawa! Nafsi ni sehemu ya mtu inayoweza kujigawa!

Mtu anapokuwa amelala, roho hailali usingizi bali mwili! Ikitokea ukajeruhiwa na vitu kama mapenzi na dhuruma, kinachoumia ni nafsi bali mwili na roho vinashiriki kuugulia kwasababu nafsi, roho, na mwili kwa mtu aliyehai vyote viko pamoja kwa umoja!

Na Mungu ndo hivyo hivyo! Mungu Baba, Mungu mwana, Mungu Roho mtakatifu!

Kwa umoja huu ndo Mungu!

Japo wewe sio Mkristo lakini Biblia imeliweka wazi!

"NA TUMFANYE MTU KWA MFANO WETU"

Mwanzo 1:26

[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

Kwahiyo, ndani ya Mungu kuna uwezo wa kujifanya mwili (ndivyo alivyofanya Yesu), Mungu ni Roho ndivyo alivyo (hata Yesu alivyotaka kufa yeye mwenyewe) alitoa Roho yake akafa mwili akafanya aliyoyafanya alafu akautwaa mwili uleule akafufuka na huo mwili anao mpaka leo. Ndani ya Mungu kuna huwezo wa kimamlaka (Mungu Baba) kama ilivyo ndani ya mwanadamu nguvu ya kimamlaka ni hile roho inayotawala nafsi!

Naishia hapa! Kama unataka mafunuo zaidi okoka! Mkiri Yesu Kristo kuwa ni BWANA! Na alikufia msalabani ili akurudishe kwa Mungu kwasababu hapo ulipo umepotea
 
Mujibu kwa maandiko na sio maelezo.hakuna Mungu roho,mungu mwana katika biblia.
Yesu ana uungu lakini yeye si Yule Mungu yule ambae biblia inasema hakuna aliyewai muona AKAISHI
Ndiyo maana biblia inasema" yesu ni mfano wa MUNGU yule asiyeoneka"
 
DR Mambo Jambo Rabbon ..
Habari

1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu

2. Wengine wanasema Mungu mmoja

3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu

Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba

Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana juu ya concept ya Mungu

Shukrani
 
Mujibu kwa maandiko na sio maelezo.hakuna Mungu roho,mungu mwana katika biblia.
Yesu ana uungu lakini yeye si Yule Mungu yule ambae biblia inasema hakuna aliyewai muona AKAISHI
Ndiyo maana biblia inasema" yesu ni mfano wa MUNGU yule asiyeoneka"
"YESU ni mfano wa MUNGU yule asiyeonekana" kwahiyo YESU ni Mungu au sio Mungu?

NB: Mkuu mimi sio mjuzi sana wa dini siko deep kihivyo lakini ni muumini wa dini yangu
 
Mujibu kwa maandiko na sio maelezo.hakuna Mungu roho,mungu mwana katika biblia.
Yesu ana uungu lakini yeye si Yule Mungu yule ambae biblia inasema hakuna aliyewai muona AKAISHI
Ndiyo maana biblia inasema" yesu ni mfano wa MUNGU yule asiyeoneka"
Mbona unaongea kwa mihemko na hasira? Nitakuonyesha maandiko ambapo Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho mtakatifu walikuwa pamoja kwa wakati mmoja na kujidhihirisha:

Mathayo 3:16-17

[16]Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;

[17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

Sasa hapa unaona:

1. Yesu aliyetoka kubatizwa

2. Roho mtakatifu akishuka kama hua

3. Mungu Baba (katika sauti) kutoka Mbinguni

Mambo ya Mungu hayataki jaziba! Okoka!
 
Kwahiyo mkuu nani ni MUNGU hapo kati ya hao watatu?
 
Wote wako sawa! Huwezi kuwatenganisha! Hata wewe unaweza tenganisha roho, mwili na nafsi? Inaweza kusadikika kuwa roho ina nguvu lakini anayeipa fursa roho ni akili iliyo ndani ya nafsi! Na akili hiko ndani ya ubongo ulio ndani ya mwili!
Haya mambo ukitumia akili za kibinadamu huwezi kuelewa!
 
Habari

1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu

2. Wengine wanasema Mungu mmoja

3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu

Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba

Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana juu ya concept ya Mungu

Shukrani
Muumba ni mmoja tu na hagawanyiki, ila kutokana na mapokeo mbalimbali Kweli ilifichwa isijulikane, ndo maana Muumba anasema akili ya mtu ikifika mwisho ndipo atakuja ukisoma:-

1Korintho 15:24-28
24 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.

25 Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.

26 Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.

27 Kwa kuwa, Alivitiisha vitu vyote chini ya miguu yake. Lakini atakaposema, Vyote vimetiishwa, ni dhahiri ya kuwa yeye aliyemtiishia vitu vyote hayumo.

28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe (Yesu) naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Muumba awe yote katika wote.
Ukisoma pia

Zekaria 14:9
Naye Bwana atakuwa Mfalme juu ya nchi yote; siku hiyo Bwana atakuwa mmoja, na jina lake moja.

Wengi wako kwenye utumwa wa kifikra na kiroho maana uongo ukifundishwa mara nyingi kwa muda mrefu huanza kuaminika ndo kweli, na falme na mamlaka ambao ni watu wenye izo roho walikuwa wanajua hilo.
 
Wote wako sawa! Huwezi kuwatenganisha! Hata wewe unaweza tenganisha roho, mwili na nafsi? Inaweza kusadikika kuwa roho ina nguvu lakini anayeipa fursa roho ni akili iliyo ndani ya nafsi! Na akili hiko ndani ya ubongo ulio ndani ya mwili!
Haya mambo ukitumia akili za kibinadamu huwezi kuelewa!
kwahiyo Mungu ni mmoja?
 
Muumba ni mmoja tu na hagawanyiki, ila kutokana na mapokeo mbalimbali Kweli ilifichwa isijulikane, ndo maana Muumba anasema akili ya mtu ikifika mwisho ndipo atakuja ukisoma:-

1Korintho 15:24-28
24 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.

25 Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.

26 Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.

27 Kwa kuwa, Alivitiisha vitu vyote chini ya miguu yake. Lakini atakaposema, Vyote vimetiishwa, ni dhahiri ya kuwa yeye aliyemtiishia vitu vyote hayumo.

28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe (Yesu) naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.
Ukisoma pia

Zekaria 14:9
Naye Bwana atakuwa Mfalme juu ya nchi yote; siku hiyo Bwana atakuwa mmoja, na jina lake moja.

Wengi wako kwenye utumwa wa kifikra na kiroho maana uongo ukifundishwa mara nyingi kwa muda mrefu huanza kuaminika ndo kweli, na falme na mamlaka ambao ni watu wenye izo roho walikuwa wanajua hilo.
Muumba ni mmoja mwenye nafsi ngapi? Moja au tatu?
 
Wewe utakuwa ni mkatoriki Mshamba wa kusini
 
Back
Top Bottom