Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 318
- 295
Kushoto ni mwanariadha mkongwe wa zamani Juma Ikangaa (280) na kulia ni mwanariadha Mkongwe Filbert Bayi (331);
Ukiwaangalia kwa haraka kwenye picha utadhani ni marafiki , Ila wapo tofauti kabisa; Juma Ikangaa ni mpinga rushwa na hapendi vitu vya dhulma swala tano kabisa,
ila Filbert Bayi ni mla rushwa na amejimilikisha mali za wanariadha, ni fisadi , anapokea pesa za wahisani wa kati ya olimpiki ya dunia; na anahonga Serikali ili kusafisha mambo yake, anapenda rushwa yeye na mwenyekiti wake mzanzibari. Eneo la michezo la mkuza , ilitakiwa iwe kituo cha wanamichezo wote , Ila amekigeuza chake na anachuma pesa kupitia pale.
kila waziri anaeingia madarakani hawamgusi , wala hawachunguzi tuhuma zake.