Wakazi wa kisiwa Cha Canary Island waaaandamana kutaka watalii wapungue kwao. Idadi yao wako milioni 2 watalii mwaka Jana walikuwa milioni 16

Kwa hiyo hawataki fedha?Maana mtalii Anakuja na kuondoka
Wakazi wa Canary Island Wanasema watalii wamesababisha maisha magumu Kwa wenyeji .Kila Kona mahoteli ya kitalii na sehemu za kustarehe watalii Bei za maisha zimepanda kuanzia gharama za kupata viwanja vya kujenga makazi,Vyakula na vinywaji na usafiri Kwa wazawa maisha hayakamatiki
 
unadhani zanzibar wataweza kuhimili hii? Hapa issue ni sustainability. Nenda Zanzibar hivi sasa wakati watalii siyo wengi hata hivo na uone kwenye beach kama za Jambiani - beach erosion imeanza kwa kasi.
Kisiwa Cha Canary Island Wana population sawa na Zanzibar ya wazawa .Wanalingana Zanzibar ipokee watalii milioni 16 na miundo mbinu ya uwekezaji ya kupokea watalii milioni 16 kama Canary Island watakimbia Zanzibar kukimbilia Tanzania bara huku wakilia kama mbwa kuwa tunataka muungano wa nchi moja ili waje bara kwenye unafuu wa Maisha wawe wakohani au wamakunduchi au wapemba .Wataikimbia Zanzibar uchi mchana kweupe kutafuta Maisha nafuu bara

Ndipo warajua kuwa Nyerere kutaka muungano alikuwa anawahurumia wao.

Yajengwe mahoteli Zanzibar ya ku accommodate watalii milioni 16 Kwa mwaka kama Canary Island kama bara hakujajaa hao wapinga muungano wakipiga magoti kulia kwenye kaburi la Nyerere kuomba msamaha kuwa tusamehe tumejua ulianzisha muungano kutuhurumia waja wako tusiojielewa wazanzibari tuombee na huko Kwa Allah atusanehe
 
Nakuona kama unaota vile!

Hebu kasome declassified documents za CIA uone sababu za Nyerere kutaka Muungano, na ndiyo mana alishindwa hata kuandika kitabu cha historia yake ijapokuwa alikuwa muandishi mzuri wa vitabu.
 
Back
Top Bottom