MENERIKI II
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 316
- 525
Habari wana Jf wenzangu Nimeokota mahala sasa sijui ni nini wanaojua msaada tujuzane
Upo wapi?Habari wana Jf wenzangu Nimeokota mahala sasa sijui ni nini wanaojua msaada tujuzane
View attachment 2976103
Jambazi huisoma akili ya jambazi haraka sanaa, asante sanaKuna kipigo kinakuja hapa
Lazima Tetere Anase
Kama ni 'zahabu' hapo sawa.izo ni zahabu kaka inshort ushatoboa
Nimecheka sana, umemaliza mkuu hili ndo jibu sahihi la huu Uzi😃😃
Labda atoboe gazeti....izo ni zahabu kaka inshort ushatoboa