cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,074
- 1,706
Siku za hivi karibuni imetokea ajali ya treni mkoani Morogoro, ajali hii imehusisha basi dogo aina ya coaster linalofanya safar zake Kihonda - Mjini na treni la abiria linalofanya safari za Dar - Mwanza.
Sasa kumekuwa na maneno mengi sana midomoni mwa watu kuwa treni ina sumaku ambayo inapelekea kulivuta gari mara tu linapopita karibu yake na hivyo kusababisha hizo ajali na yapo maneno ya watu wengine yanasema kwamba hofu ya dereva wa gari ndio inayosababisha ajali.
Sasa nilitaka kujua kwa faida yangu na watu wengine! Ni kweli kwamba treni ina sumaku ambayo husababisha gari kuzima na kuligonga au hofu ya dereva ndio inayosababisha gari kugongwa?
Sent using Jamii Forums mobile app