Wajanja Night is back

Mtu-Pori

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
1,256
1,357
Nimejaribu asubuhi hii kujiunga na ikakubali.

Mabadiliko ni kuingezeka kwa gharama toka sh 200/- hadi sh 500/- lakini muda wa matumizi ni uleule. Kwakuwa ninatoka kwenda kwenye mihangaiko, sijaitumia na kupima speed kama ni ile ile au wameibana.
 
i dont care hio bei maana ukieka 500 ukikatwa mia 2 at the end asubuhi unachelewa kuamka inabaki 0.

ngoja nitatest na leo
 
i dont care hio bei maana ukieka 500 ukikatwa mia 2 at the end asubuhi unachelewa kuamka inabaki 0.

ngoja nitatest na leo

Ni kweli wamepandisha Nauli maana hata ukibofya ile 1 wanakwambia Nauli 500 muda ni ule ule ila speed sijajua bado.
Jamaa wanajua kucheza na akili za wateja so mabundi Kazi ni kwetu.
 
Jamaa wamesikiliza kilio cha wateja so wakaona wacha tuwarudishie ila nauli ipande, kwa upande wangu sioni tatizo nitaendelea kulipanda tu mwanakwetu 500 siyo neno maana ukilinganisha na offer za 500 za mitandao mingine wajanja inabaki kuwa best ilimradi wasitubanie mwendo kasi tu.
 
Nilijaribu mwendo kasi kwa ku download movie, kwenye user interface ya IDM ilisoma hadi 700kbps. Hiyo ilikuwa yapata saa 12:40 asubuhi.
 
Duh!....nauli imekua Jero kama basi la 'buluu'

Mwendokasi vipi, hauna kwikwi? Haya mabundi wenzangu tufahamishane!
 
Dah! nlikuwa najiuliza ntaangaliaje WWE tena kwenye YOU tube . lakini imerudi. safi sana VODA
 
Mbona kwang nlotumiaga iko too slow...hata kufungua youtube tu shida..natumia simu wakuu
 
Karibu tena bundiz offer..kuanzia leo vita dhid ya ucngz inaanza rasmi!!!tufikishe salama,hop uko na speed yako ile ile km zaman
 
inapanda taratibu kama zantel na unlimited yao ya siku 3... mwisho mtaambiwa buku 5 per night!
 
Yehu!! watu weweeeeeeeeeeeeeeee.Leo kama kawa,mkuu asante kwa taarifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom