Wahudumu wa Baa wanahitajika

Andytomz

Member
Oct 30, 2018
11
8
Wanatafutwa wahudumu wawili 2 wa Bar iliyoko Goba jijini Dar-es-Salaam.

Sifa za muhudumu:

1. Awe na Lugha nzuri kwa Wateja
2. Awe na juhudi katika kazi
3. Awe tayari kuishi katika hostel ya mmiliki wa bar kuepusha usumbufu.
4. Awe anatokea mkoa wa Dar es salaam.
5. Awe tayari kufuata mkataba/mikataba na ikiwezekana kuiwasilisha katika ngazi za serikali kwa ajili ya usimamizi wa kisheria
6. Awe tayari kuwasiliana na kutoa taarifa zake kama picha na kiasi cha mshahara atakacho hitaji.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 0788071388

Wanahitajika haraka iwezekanavyo, na kwa yeyote anaye faham pia wanapopatikana anaweza wasiliana kwa namba hiyo ili kufanya utaratibu wa kuwapata au kuwafikia kwa makubaliano zaidi( mfanikishaji atapewa commission kidogo kama asante)

Ahsanteni.
 
mk
Wanatafutwa wahudumu wawili 2 wa Bar iliyoko Goba jijini Dar-es-salaam!
Sifa za muhudumu!
1. Awe na Lugha nzuri kwa Wateja
2. Awe na juhudi katika kazi
3. Awe tayari kuishi katika hostel ya mmiliki wa bar kuepusha usumbufu.
4. Awe anatokea mkoa wa Dar es salaam.
5. Awe tayari kufuata mkataba/mikataba na ikiwezekana kuiwasilisha katika ngazi za serikali kwa ajili ya usimamizi wa kisheria
6.Awe tayari kuwasiliana na kutoa taarifa zake kama picha na kiasi cha mshahara atakacho hitaji.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 0788071388

Wanahitajika haraka iwezekanavyo, na kwa yeyote anaye faham pia wanapopatikana anaweza wasiliana kwa namba hiyo ili kufanya utaratibu wa kuwapata au kuwafikia kwa makubaliano zaidi( mfanikishaji atapewa commission kidogo kama asante)
Ahsanteni
mkuu jitahidi kuajiri warembo tutakuja tuu
 
Dah..hizi kazi bwana, mshahara tsh. 50,000 alafu huyo mtu ana familia na wazazi kijijini. Mwisho wa siku ni kila siku kuuza 'papuchi' ukimwambia rudi kijijini hataki eti kuna kazi ngumu!

Wanaume wa mikoani sijui mnafeli wapi mpaka dada zenu wanauza papuchi huku mjini.
 
Maslahi (mshahara) ni mazuri mkuu ila mda mwingine ni tamaa za mtu binafsi zinapelekea yote hayo
 
Kuna mmoja namfahamu ngoja nikuunganishe naye. Sasa mi nahitaji privacy yangu ibaki humu humu, nampa namba apige.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom