Wahenga: Mfupa uliomshinda Tingatinga, G55 na Mchungaji Mtikila, Je Tundu Lissu atauweza?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,044
143,788
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa.

Huu mfupa Tundu Lissu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe tu za Fisi kufuatilia mkono wa binadamu akiamini utadondoka?

Mungu wa Mbinguni Uturehemu sisi ๐Ÿ˜„
 
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa

Huu mfupa Tundu Lisu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe Tu za Fisi kufuatilia mkono wa binadamu akiamini utadondoka?

Mungu wa Mbinguni Uturehemu sisi ๐Ÿ˜„
huwa kama saa ikifika hakuna linaloshindikana,watanganyika tujitambue tutoe matongotongo kumekucha
 
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa

Huu mfupa Tundu Lisu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe Tu za Fisi kufuatilia mkono wa binadamu akiamini utadondoka?

Mungu wa Mbinguni Uturehemu sisi ๐Ÿ˜„
Thinking yako ni very poor! Keep it in mind! It may take even a different course you might not be able to think of because of myopic thinking cultivated among CCM . Unawaza ki CCM sana......
Mfano hawa waarabu was Samia wakati utafika watatimuliwa wote bila kujali sheria za kimataifa maana wameshakuwa warned kuwa anachokifabya samia ni je ya sheria, waachane naye. hawataki. sijui kama unanielewa
 
Thinking yako ni very poor! Keep it in mind! It may take even a different course you might not be able to think of because of myopic thinking cultivated among CCM . Unawaza ki CCM sana......
Nchi hii usipowaza kiccm unakuwa Msukule kama wewe

Maandamano Wenzako wanalipana Posho wewe unashangilia kama tutusa ๐Ÿ˜„
 
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa

Huu mfupa Tundu Lisu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe Tu za Fisi kufuatilia mkono wa binadamu akiamini utadondoka?

Mungu wa Mbinguni Uturehemu sisi ๐Ÿ˜„
Kwa Lissu naamini atautendea haki. Angeingia Zanzibar amwage sumu ikolee! Tatizo lipo kwa madalali wa kitanganyika!
 
Nchi hii usipowaza kiccm unakuwa Msukule kama wewe

Maandamano Wenzako wanalipana Posho wewe unashangilia kama tutusa ๐Ÿ˜„
definitely and they qualify to be paid posho, as long as they are doing what the mass is expecting of them!
Akili zako ni finyu sana, kwa hiyo mtu apigwe risasi ili kutafuta posho? afungwe miezi nane kwa uonevu ili atafute posho? Hakuna IMANI anayoipigania?
Mimi nimekwenda darasani, nafikiri, I can decipher things from their right perspectives!
 
Darasani ulikwenda kukariri ndio Sababu huyaoni mambo Katika uhalisia wake!
 
johnthebaptist it was unthinkable kuwa magufuli will no longer be with you, wapenzi wake, Mungu wenu! Wewe na timu yako mlikuwa na uhakika kuwa after some few months Magufuli will be a life president...all of a sudden, overnight ndiyo kama hivi. Mkatawanyika akina Kakulwa,Kabudi, Polepole , wewe sijui umetupwa pori gani (reserved by JF rules). Huwezi kujua ya kesho, narudia huwezi kujua ya kesho!
 
johnthebaptist it was unthinkable kuwa magufuli will no longer be with us! Wewe an timu yako mlikuwa na uhakika kuwa after some few months Magufuli will be alife presidentt...all of a subben ndiyo kama hivi. Mkatawanyika akina Kakulwa,Kabudi, Polepole , wewe sijui umetupwa pori gani la ubalozi Huwezi kujua ya kesho, narudia huwezi kujua ya kesho!
 
2015 Maguful na Lowasa waligombea urais wakiwa siyo timamu kiafya hivyo ni mtu Mpumbavu tu ambaye anaamini Shujaa Maguful alitaka kuwa Rais wa maisha

Kwa Taarifa Yako Maguful alitaka term 1 tu baada ya kuombwa amkabili Lowasa 2015

Wewe ni dogo Sana kwenye siasa za Medani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa

Huu mfupa Tundu Lisu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe Tu za Fisi kufuatilia mkono wa binadamu akiamini utadondoka?

Mungu wa Mbinguni Uturehemu sisi ๐Ÿ˜„
kibaraka ni mwanaharakati kibogoyo wa kisiasa :pedroP:
 
johnthebaptist it was unthinkable kuwa magufuli will no longer be with us! Wewe an timu yako mlikuwa na uhakika kuwa after some few months Magufuli will be alife presidentt...all of a subben ndiyo kama hivi. Mkatawanyika akina Kakulwa,Kabudi, Polepole , wewe sijui umetupwa pori gani la ubalozi Huwezi kujua ya kesho, narudia huwezi kujua ya kesho!
Mimi siwezi kutupwa pori lolote kwa Sababu wakati nakunywa Crown beer pale Kilimanjaro hotel mwenyekiti wako alikuwa Kolokoloni wa Biotii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿคฉ
 
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa

Huu mfupa Tundu Lisu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe Tu za Fisi kufuatilia mkono wa binadamu akiamini utadondoka?

Mungu wa Mbinguni Uturehemu sisi ๐Ÿ˜„
Soma alama za nyakati ndugu! Mambo haya hayana budi kutumia. Zama zile ni tofauti na sasa. Na wakati wa Mungu kulikomboa taifa unatimia. Ccm wajiandae. Na ni itakuwa heri kwa watakaoamua kubadilika na kuziacha njia na tamaa zao mbaya za kuifilisi nchi hii ambayo macho ya Mungu yapo juu yake kwasasa zaidi tofauti na nyakati za hao uliowataja. Kilio cha wengi kimemfikia Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na taifa letu kwa jina lake halali la mwanzo. Maombi ya watu wengi na watumishi
wengi kwenye madhabahu za Mungu wamekuwa wakiomba kwa ajili ya taifa hili. Na Mungu ni wa haki siku zote na kamwe hawezi kusimama penye dhuluma,uwongo na ubatili. Tutarajie makubwa Maana mbingu zimeshaamua na zinaratibisha ukombozi wa taifa la Mungu kurudi kwenye misingi ya uumbaji wa Mungu mwenyewe. Mungu Jehova tunakuomba kusudi lake litimie na mapenzi yako yatimie. Amen.
 
Back
Top Bottom