TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,787
- 2,078
Baadhi ya wahitimu wa chuo kikuu cha Iringa (Tumaini) ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakitumia usafiri wa punda kwenda chuoni katika mahafali yao kama walivyonaswa na mtandao huu wa matukio daima juzi eneo la Kihesa Minyarani katika barabara ya Iringa - Dodoma. Chanzo mzee wa Matukio