Wabunge wa Zanzibar wanatakiwa kuhudhuria vikao vya bunge vya mambo ya muungano tu sio vikao vyote vya bunge
Kuna bajeti mfano hazihusu mambo ya muungano wanakalia Nini ? Au Kwa Nini wawawekwe kwenye kamati za bunge za mambo yasiyo ya muungano
Wahudhurie vikao tu vya bunge vya mambo yahusuyo muungano baada ya kumalizika wapande meli warudi Zanzibar
Na kuokoa Gharama bunge lianzie kwanza na wizara zinazohusu mambo ya muungano vikimalizika wabunge wazazibari warudi kwao wapishe watanganyika waendelee na mijadala ya mambo ya wizara zisizo za kimuungano
Unalipaje posho mbunge wa Zanzibar kwenye kikao Cha maswala yasiyo ya kimuungano.Huo ni ufisadi wa wazi kabisa