Wabunge kutoka Zanzibar wamtoa Jasho Waziri Jaffo kuhusu KERO za Muungano, CCM na ACT waungana kumsulubu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,110
142,213
Leo Wabunge wa Zanzibar wamenifurahisha kwa namna wanavyoweza Kuwa Wamoja kwenye kutetea Maslahi ya Visiwa vyao

Wabunge hao wamemwambia Waziri Jaffo wanapitisha Bajeti yake lakini ahakikisha kero 22 za Muungano anazimaliza, Waziri amekubali

Source: ITV
 
Back
Top Bottom